title : MBUNGE WA LUSHOTO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUSAIDIA SEKTA YA AFYA JIMBONI KWAKE
kiungo : MBUNGE WA LUSHOTO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUSAIDIA SEKTA YA AFYA JIMBONI KWAKE
MBUNGE WA LUSHOTO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUSAIDIA SEKTA YA AFYA JIMBONI KWAKE
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi uliofanyika Kijiji cha Lwandai Kata ya Mlola wilayani Lushoto ambapo pamoja na kusikiliza kero zao aliishukuru Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli kupitia Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kuijali kata hiyo kwa kupeleka fedha milioni 700 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya cha Kisasa katika Kata ya Mlola ambapo kati ya hizo milioni 300 kwa ajili ya kununulia vifaa wakati kituo hicho kitakapomalika huku milioni 400 zikiwa tayari wameingiziwa tayari kwa ajili ya ujenzi huo
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akizungumza katika mkutano wa hadhara kushoto ni Diwani wa Kata ya Mlola.
Diwani wa Kata ya Mlola (CCM) akizungumza katika mkutano huo kabla ya kumkaribisha mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia aliyekaa kulia.
Sehemu ya wananchi wakimsikiliza Mbunge wao
Hivyo makala MBUNGE WA LUSHOTO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUSAIDIA SEKTA YA AFYA JIMBONI KWAKE
yaani makala yote MBUNGE WA LUSHOTO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUSAIDIA SEKTA YA AFYA JIMBONI KWAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA LUSHOTO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUSAIDIA SEKTA YA AFYA JIMBONI KWAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mbunge-wa-lushoto-amshukuru-rais.html
0 Response to "MBUNGE WA LUSHOTO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUSAIDIA SEKTA YA AFYA JIMBONI KWAKE"
Post a Comment