Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Afungua soko la Konde - Pemba

Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Afungua soko la Konde - Pemba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Afungua soko la Konde - Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Afungua soko la Konde - Pemba
kiungo : Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Afungua soko la Konde - Pemba

soma pia


Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Afungua soko la Konde - Pemba



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipongezana na viongozi wengine mara baada ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Sehemu ya wananchi waliohudhuria hafla fupi ya ufunguzi wa soko jipya la Konde lililopo Konde, Micheweni,Pemba.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume Pemba tayari kwa ufunguzi wa soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed wakati alipowasili Konde tayari kwa ufunguzi wa soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohamed Aboud Mohamedmara baada ya kuwasili Konde tayari kwa ufunguzi wa soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na na Viongozi mbali mbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na na Viongozi mbali mbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba.




Hivyo makala Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Afungua soko la Konde - Pemba

yaani makala yote Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Afungua soko la Konde - Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Afungua soko la Konde - Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/matukio-makamu-wa-rais-samia-suluhu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Afungua soko la Konde - Pemba"

Post a Comment