MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU ALIVYOHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA AU,KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU ALIVYOHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA AU,KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU ALIVYOHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA AU,KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU ALIVYOHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA AU,KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU ALIVYOHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA AU,KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU ALIVYOHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA AU,KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amehudhuria katika Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli. Januari 29, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) na Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa (katikati) nje ya ukumbi wa Nelson Mandela mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU. Januari 29, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete, nje ya ukumbi wa Nelson Mandela mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU. Januari 29, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, nje ya ukumbi wa Nelson Mandela mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU. Januari 29, 2018

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mjumbe Maalum na Mwenyekiti wa Umoja wa Africa Nchini Sudan, Prof. Joram Biswaro, nje ya ukumbi wa Nelson Mandela mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU. Januari 29, 2018.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU ALIVYOHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA AU,KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU ALIVYOHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA AU,KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU ALIVYOHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA AU,KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/matukio-katika-picha-waziri-mkuu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU ALIVYOHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA AU,KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI"

Post a Comment