title : maonesho ya kitalii kufikia kilele jumapili jijini new york
kiungo : maonesho ya kitalii kufikia kilele jumapili jijini new york
maonesho ya kitalii kufikia kilele jumapili jijini new york
Mkurugenzi wa East point hotel, ndugu Rashid Adam, na Pia ni Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni ya ZARA TOURS akiwa kwenye maonesho ya kitalii nchini marekani New York times travel show. Watu ni wengi na maonesho ni makubwa New York times travel Sambamba na Balozi wa Tanzania nchini Marekani,Wilson Masilingi, wapo pia Tanzania Tourist Board ngorongoro crater pamoja na Tanapa. Maonesho hayo yanatarajiwa kufikia kilele siku ya Jumapili




Hivyo makala maonesho ya kitalii kufikia kilele jumapili jijini new york
yaani makala yote maonesho ya kitalii kufikia kilele jumapili jijini new york Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala maonesho ya kitalii kufikia kilele jumapili jijini new york mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/maonesho-ya-kitalii-kufikia-kilele.html
0 Response to "maonesho ya kitalii kufikia kilele jumapili jijini new york"
Post a Comment