makamu wa Rais Mama Samia ahudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe

makamu wa Rais Mama Samia ahudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa makamu wa Rais Mama Samia ahudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : makamu wa Rais Mama Samia ahudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe
kiungo : makamu wa Rais Mama Samia ahudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe

soma pia

makamu wa Rais Mama Samia ahudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa pamoja na Mama Siti Mwinyi mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili (kushoto) pamoja na Huda Karume mke wa Balozi Ali Karume kwenye msiba wa Bw. Said Abdallah Natepe aliwahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Utawala Bora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Amaan Abeid Karume akiwasili Mazizini kuhudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Idd akiwasili Mazizini kuhudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe.
 Mwili wa marehemu Said Natepe ukiombewa dua baada ya kusaliwa kabla ya kwenda kupumzishwa
Mwili wa marehemu Said Natepe ukibebwa tayari kwenda kupumzishwa kwenye makaburi ya Mwache 

Hivyo makala makamu wa Rais Mama Samia ahudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe

yaani makala yote makamu wa Rais Mama Samia ahudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala makamu wa Rais Mama Samia ahudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-mama-samia-ahudhuria_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "makamu wa Rais Mama Samia ahudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe"

Post a Comment