title : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI
kiungo : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro mara baada ya kufanya mazungumzo ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro mara baada ya kufanya mazungumzoleo ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-akutana-na-mkuu-wa-jeshi.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI"
Post a Comment