KOZI YA MULTI MEDIA ITASAIDIA KUONGEZA UFANISI KWA WAANDAAJI FILAMU NCHINI-WAZIRI MWAKYEMBE

KOZI YA MULTI MEDIA ITASAIDIA KUONGEZA UFANISI KWA WAANDAAJI FILAMU NCHINI-WAZIRI MWAKYEMBE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOZI YA MULTI MEDIA ITASAIDIA KUONGEZA UFANISI KWA WAANDAAJI FILAMU NCHINI-WAZIRI MWAKYEMBE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KOZI YA MULTI MEDIA ITASAIDIA KUONGEZA UFANISI KWA WAANDAAJI FILAMU NCHINI-WAZIRI MWAKYEMBE
kiungo : KOZI YA MULTI MEDIA ITASAIDIA KUONGEZA UFANISI KWA WAANDAAJI FILAMU NCHINI-WAZIRI MWAKYEMBE

soma pia


KOZI YA MULTI MEDIA ITASAIDIA KUONGEZA UFANISI KWA WAANDAAJI FILAMU NCHINI-WAZIRI MWAKYEMBE

Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo imeahidi kuwasaidia wanafunzi wanasoma kozi ya Multi Media kupata nafasi za mafunzo kwa vitendo katika sehemu mbalimbali pale inapowawia vigumu kupata nafasi hizo.
Kauli hiyo imetolewa jana na Mheshimiwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe alipotembelea Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kwa lengo la kufahamu  kozi ya Multi Media inayotolewa na chuo hicho namna gani inaweza kusaidia  uandaaji wa filamu nchini.
‘’Kozi hii ya Multi Media ni moja ya masomo yanaweza kuisaidia sekta ya filamu kupata taswira mpya tofauti na ilivyosasa kwani wataalamu hawa wakitumiwa vizuri katika kuandaa filamu  za hapa nchini wanaweza kuleta mabadiliko kwani kwa sasa sekta hiyo ina changamoto kubwa ya kukosa waandaji wenye weledi’’Dkt.Mwakyembe.
Akiendelea kuzungumza katika ziara hiyo Dkt.Mwakyembe aliwapongeza wanafunzi wa chuo hicho kwa kuonyesha weledi pale walipokuwa wakijibu  maswali waliyoulizwa  kuhusiana na namna wanaweza kuboresha uandaaji wa filamu ambapo wanafunzi watatu tofauti walijibu kwa ufasaha.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) akipongeza uongozi wa chuo cha Teknolojia Dar es Salaam kwa kuaandaa vijana wenye weledi katika uandaaji wa filamu alipotembelea chuo hicho  jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kukutana na wanafunzi wanaosoma kozi ya Multi Media,kutoka kulia ni Mkuu wa Chuo cha DIT Prof.Preksedis Ndomba na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bibi. Joyce Fissoo (kushoto).
 Mkuu wa Chuo cha DIT, Prof.Preksedis Ndomba (kulia) akitoa taarifa ya maendeleo ya kozi ya Multi Media inayotolewa na chuo hicho inavyoweza kusaidia sekta ya filamu kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) alipotembelea chuo hicho jana jinini Dar es Salaam kujionea namna kozi ya Multi Media inaweza kusaidia sekta ya filamu katika uandaaji.
 Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini, Bibi Joyce Fissoo akiuliza swali kwa baadhi ya wanafunzi wanasoma kozi ya Multi Media katika Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (hawapo pichani) namna gani wanaweza kuboresha uandaaji wa filamu, katika ziara ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) chuoni hapo jana jijini Dar es Salaam (watatu kushoto) ni Mkuu wa Chuo cha DIT Prof.Preksedis Ndomba.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe(wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watendaji wa Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT) jana jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea chuo hicho kwa ajili ya kufahamu kozi ya Multi Media inavyoweza kusaidia sekta ya Filamu nchini, na wapili kulia ni Mkuu wa Chuo cha DIT Prof.Preksedis Ndomba pamoja na  Katibu Mtendaji  Bodi ya Filamu nchini Bibi Joyce Fissoo (wapili kushoto). Na Anitha Jonas –WHUSM

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala KOZI YA MULTI MEDIA ITASAIDIA KUONGEZA UFANISI KWA WAANDAAJI FILAMU NCHINI-WAZIRI MWAKYEMBE

yaani makala yote KOZI YA MULTI MEDIA ITASAIDIA KUONGEZA UFANISI KWA WAANDAAJI FILAMU NCHINI-WAZIRI MWAKYEMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KOZI YA MULTI MEDIA ITASAIDIA KUONGEZA UFANISI KWA WAANDAAJI FILAMU NCHINI-WAZIRI MWAKYEMBE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/kozi-ya-multi-media-itasaidia-kuongeza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KOZI YA MULTI MEDIA ITASAIDIA KUONGEZA UFANISI KWA WAANDAAJI FILAMU NCHINI-WAZIRI MWAKYEMBE"

Post a Comment