title : Kiben Ten Chakomeshwa na Sugar Mummy Wake Baada ya Kumfumania Akifanya Mapenzi Kwenye Gari
kiungo : Kiben Ten Chakomeshwa na Sugar Mummy Wake Baada ya Kumfumania Akifanya Mapenzi Kwenye Gari
Kiben Ten Chakomeshwa na Sugar Mummy Wake Baada ya Kumfumania Akifanya Mapenzi Kwenye Gari

Mwanamke mmoja ambaye ni mfanya biashara mwenye umri wa miaka 54 anayejulikana kama Maggie, kampiga mpenzi wake mwenye umri wa miaka 26 kwa kumdanganya.
Kwa mujibu wa ripoti, Maggie alimpiga mpenzi wake baada ya kumfumania akifanya mapenzi na msichana katika gari lake huko jijini Lusaka, Zambia.
Mwanamke huyo inaonyesha alikasirika na kuamua kuchukua sheria mikononi mwake na kumpiga kijana huyo kama mtoto mdogo, akimhukumu kwa kosa la kuchezea moyo wake.
Na Raheem Rajuu
Hivyo makala Kiben Ten Chakomeshwa na Sugar Mummy Wake Baada ya Kumfumania Akifanya Mapenzi Kwenye Gari
yaani makala yote Kiben Ten Chakomeshwa na Sugar Mummy Wake Baada ya Kumfumania Akifanya Mapenzi Kwenye Gari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kiben Ten Chakomeshwa na Sugar Mummy Wake Baada ya Kumfumania Akifanya Mapenzi Kwenye Gari mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/kiben-ten-chakomeshwa-na-sugar-mummy.html
0 Response to "Kiben Ten Chakomeshwa na Sugar Mummy Wake Baada ya Kumfumania Akifanya Mapenzi Kwenye Gari"
Post a Comment