Kesi ya ‘Ndama Mtoto wa Ng’ombe’ Yasubiriwa Nyaraka Kutoka Australia

Kesi ya ‘Ndama Mtoto wa Ng’ombe’ Yasubiriwa Nyaraka Kutoka Australia - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kesi ya ‘Ndama Mtoto wa Ng’ombe’ Yasubiriwa Nyaraka Kutoka Australia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kesi ya ‘Ndama Mtoto wa Ng’ombe’ Yasubiriwa Nyaraka Kutoka Australia
kiungo : Kesi ya ‘Ndama Mtoto wa Ng’ombe’ Yasubiriwa Nyaraka Kutoka Australia

soma pia


Kesi ya ‘Ndama Mtoto wa Ng’ombe’ Yasubiriwa Nyaraka Kutoka Australia

 
Kesi inayomkabili Shaban Hussein (Ndama mtoto wa Ng’ombe) ya makosa matano imehairishwa mpaka 12/2/2018. Wakati wa kusikiliza kesi hiyo upande wa mshtakiwa umedai unasubiri nyaraka kutoka nchini Australia ziweze kuwasilishwa.

Wakili wa Serikali, Estazia Wilson amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Victoria Nongwa kuwa wameshapeleka maombi ya nyaraka za kesi hiyo (Foreigner Affairs). Kutokana na hatua hiyo, Wakili wa utetezi Jeremiah Ntobesya aliomba upande wa mashtaka kuharakisha upelelezi.

Makosa anayokabiliwa Ndama inadaiwa February 20, 2014 Dar es Salaam, alighushi nyaraka za kibali cha kusafirisha madini na sampuli za madini kwa kusudi la kuonesha kuwa kampuni ya Muru Platnum Tanzania Investment Company Limited iliruhusiwa kusafirisha mabox manne ya dhahabu yenye kilogramu 207 yenye thamani ya Dola za Marekani 8,280,000.00 kwenda Australia kwa kampuni ya Trade TJL DTYL Limited wakati akijua si kweli.

March 6, 2014, Dar es Salaam, anadaiwa kughushi kwa kutengeneza hati ya kibali ya Umoja wa Mataifa ofisi ya Dar es Salaam akijaribu kuonesha kilogramu 207 za dhahabu kutoka nchini Congo zinatarajiwa kusafirishwa na kampuni ya Muru Platnum Tanzania Investment Company Limited kwenda Australia kwa kampuni ya Trade TJL DTYL Limited, zimesafirishwa bila jinai yoyote wakati akijua si kweli.


Hivyo makala Kesi ya ‘Ndama Mtoto wa Ng’ombe’ Yasubiriwa Nyaraka Kutoka Australia

yaani makala yote Kesi ya ‘Ndama Mtoto wa Ng’ombe’ Yasubiriwa Nyaraka Kutoka Australia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kesi ya ‘Ndama Mtoto wa Ng’ombe’ Yasubiriwa Nyaraka Kutoka Australia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/kesi-ya-ndama-mtoto-wa-ngombe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kesi ya ‘Ndama Mtoto wa Ng’ombe’ Yasubiriwa Nyaraka Kutoka Australia"

Post a Comment