IGP SIRRO AONGOZA MAOFISA NA ASKARI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA 2018

IGP SIRRO AONGOZA MAOFISA NA ASKARI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA 2018 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AONGOZA MAOFISA NA ASKARI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AONGOZA MAOFISA NA ASKARI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA 2018
kiungo : IGP SIRRO AONGOZA MAOFISA NA ASKARI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA 2018

soma pia


IGP SIRRO AONGOZA MAOFISA NA ASKARI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA 2018

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akiwaongoza Maofisa Wakuu Waandamizi na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi hilo pamoja na wawakilishi kutoka vyombo vya usalama katika sherehe za kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018 iliyofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay Dar es salaam, katika salam zake za mwaka mpya IGP Sirro, amewataka askari kufanya kazi kwa uzalendo kwa kulitetea taifa lao kwa kulinda usalama wa raia na mali zao.
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akiwaongoza Maofisa Wakuu Waandamizi na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi hilo pamoja na wawakilishi kutoka vyombo vya usalama katika tendo la kugongesheana glasi kama alama ya upendo wakati wa sherehe za kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018 iliyofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay Dar es salaam, katika salam zake za mwaka mpya IGP Sirro, amewataka askari kufanya kazi kwa uzalendo kwa kulitetea taifa lao kwa kulinda usalama wa raia na mali zao.
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (kulia), akikata keki kwenye sherehe za kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018 iliyofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay Dar es salaam, sherehe ambayo iliwakutanisha Maofisa Wakuu Waandamizi na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi hilo pamoja na wawakilishi kutoka vyombo vya usalama.
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (wa pili kulia), akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu (IGP) Said Mwema (kulia), wakati akitoa neno mbele ya Maofisa Wakuu Waandamizi na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi hilo pamoja na wawakilishi kutoka vyombo vya usalama wakati wa sherehe za kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018 iliyofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay Dar es salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akifurahia jambo na baadhi ya askari wa Jeshi hilo wakati wa sherehe za kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018 iliyofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay Dar es salaam, katika salam zake za mwaka mpya IGP Sirro, amewataka askari kufanya kazi kwa uzalendo kwa kulitetea taifa lao kwa kulinda usalama wa raia na mali zao.
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akiongoza kucheza wa muziki wa dansi kwenye sherehe za kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018 iliyofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay Dar es salaam. Picha na Jeshi la Polisi.


Hivyo makala IGP SIRRO AONGOZA MAOFISA NA ASKARI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA 2018

yaani makala yote IGP SIRRO AONGOZA MAOFISA NA ASKARI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AONGOZA MAOFISA NA ASKARI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/igp-sirro-aongoza-maofisa-na-askari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AONGOZA MAOFISA NA ASKARI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA 2018"

Post a Comment