title : FAMILIA YA NGUZA VICKING YAKUTANA NA RAIS DKT MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM
kiungo : FAMILIA YA NGUZA VICKING YAKUTANA NA RAIS DKT MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM
FAMILIA YA NGUZA VICKING YAKUTANA NA RAIS DKT MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" ambaye pamoja na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Johnson Nguza "Papii Kocha' walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa kashikana mikono huku wakiomba dua na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu wakiondoka Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 baada ya kumuona na kumshukuru Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Johnson Nguza "Papii Kocha' akionesha tatoo ya "JPM" aliyojichora mkononi walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita. Picha na Ikulu
Hivyo makala FAMILIA YA NGUZA VICKING YAKUTANA NA RAIS DKT MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM
yaani makala yote FAMILIA YA NGUZA VICKING YAKUTANA NA RAIS DKT MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala FAMILIA YA NGUZA VICKING YAKUTANA NA RAIS DKT MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/familia-ya-nguza-vicking-yakutana-na.html
0 Response to "FAMILIA YA NGUZA VICKING YAKUTANA NA RAIS DKT MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM"
Post a Comment