DKT MASHINGO AHIMIZA NG'OMBE WENYE UMRI WA MIEZI SITA NA KUENDELEA KUPIGWA CHAPA

DKT MASHINGO AHIMIZA NG'OMBE WENYE UMRI WA MIEZI SITA NA KUENDELEA KUPIGWA CHAPA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT MASHINGO AHIMIZA NG'OMBE WENYE UMRI WA MIEZI SITA NA KUENDELEA KUPIGWA CHAPA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT MASHINGO AHIMIZA NG'OMBE WENYE UMRI WA MIEZI SITA NA KUENDELEA KUPIGWA CHAPA
kiungo : DKT MASHINGO AHIMIZA NG'OMBE WENYE UMRI WA MIEZI SITA NA KUENDELEA KUPIGWA CHAPA

soma pia


DKT MASHINGO AHIMIZA NG'OMBE WENYE UMRI WA MIEZI SITA NA KUENDELEA KUPIGWA CHAPA

Na Kumbuka Ndatta, KASULU

KATIBU Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi(Mifugo) Dk. Maria Mashingo ameagiza ng’ombe wote wenye umri wa kuanzia miezi sita na kuendelea kuhakikisha wamepigwa chapa kabla ya kufikia tarehe ya mwisho ya upigaji chapa Januari 31 mwaka huu, kwani zoezi hilo sio la hiari bali ni la lazima na linatekelezwa kwa mujibu wa Sheria.

Dk. Mashingo ametoa kauli hiyo wakati akishiriki zoezi la upigaji chapa mifugo katika Kijiji cha Kabanga Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma ikiwa ni sehemu ya timu ya wataalamu wa Wizara hiyo iliyoko katika mikoa 26 ya Tanzania bara kufuatia na kusimamia zoezi la upigaji chapa mifugo linalotarajiwa kukamilika Januari 31 mwaka huu. 

Dk Mashingo aliwaambia wafugaji hao kutambua kuwa zoezi hilo linasimamiwa kwa mujibu wa Sheria ya utambuzi ,usajili na ufuatiliaji wa mifugo Na. 12 ya Mwaka 2010 na kuwasititiza kuwa haijulikani Serikali itaamua nini kwa mifugo itakayokuwa haijapigwa chapa hadi kufikia tarehe ya mwisho iliyowekwa ya Januari 31 mwaka huu.

Aidha Dk. Mashingo alitumia fursa hiyo kuwaelimisha wafugaji sehemu maalum ambayo ng’ombe anapotakiwa kupigwa chapa mwilini mwake ili kutoharibu ngozi yake inayotegemewa kwa matumizi mengine.
KATIBU Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk Maria Mashingo akishiriki upigaji chapa mifugo katika Kijiji cha Kabanga Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma ikiwa ni sehemu ya timu ya wataalamu wa wizara hiyo iliyoko katika mikoa 26 ya Tanzania bara kufuatia na kusimamia zoezi la upigaji chapa mifugo linalotarajiwa kukamilika Januari 31 mwaka huu.
KATIBU Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk Maria Mashingo akiwaeleza na wafugaji wa Kijiji cha Kabanga Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma umuhimu wa zoezi la kupiga chapa ikiwa ni sehemu ya timu ya wataalamu wa wizara hiyo iliyoko katika mikoa 26 ya Tanzania bara kufuatia na kusimamia zoezi la upigaji chapa mifugo linalotarajiwa kukamilika Januari 31 mwaka huu.
KATIBU Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk Maria Mashingo akishiriki upigaji chapa mifugo katika Kijiji cha Kabanga Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma ikiwa ni sehemu ya timu ya wataalamu wa wizara hiyo iliyoko katika mikoa 26 ya Tanzania bara kufuatia na kusimamia zoezi la upigaji chapa mifugo linalotarajiwa kukamilika Januari 31 mwaka huu. 



Hivyo makala DKT MASHINGO AHIMIZA NG'OMBE WENYE UMRI WA MIEZI SITA NA KUENDELEA KUPIGWA CHAPA

yaani makala yote DKT MASHINGO AHIMIZA NG'OMBE WENYE UMRI WA MIEZI SITA NA KUENDELEA KUPIGWA CHAPA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT MASHINGO AHIMIZA NG'OMBE WENYE UMRI WA MIEZI SITA NA KUENDELEA KUPIGWA CHAPA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/dkt-mashingo-ahimiza-ngombe-wenye-umri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT MASHINGO AHIMIZA NG'OMBE WENYE UMRI WA MIEZI SITA NA KUENDELEA KUPIGWA CHAPA"

Post a Comment