DC SHINYANGA AUNGANA NA WANANCHI KUZUIA MAJI BWAWA LA MWALUKWA YASITOROKE

DC SHINYANGA AUNGANA NA WANANCHI KUZUIA MAJI BWAWA LA MWALUKWA YASITOROKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC SHINYANGA AUNGANA NA WANANCHI KUZUIA MAJI BWAWA LA MWALUKWA YASITOROKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC SHINYANGA AUNGANA NA WANANCHI KUZUIA MAJI BWAWA LA MWALUKWA YASITOROKE
kiungo : DC SHINYANGA AUNGANA NA WANANCHI KUZUIA MAJI BWAWA LA MWALUKWA YASITOROKE

soma pia


DC SHINYANGA AUNGANA NA WANANCHI KUZUIA MAJI BWAWA LA MWALUKWA YASITOROKE

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro leo Ijumaa Januari 26,2018 ameungana na wananchi wa kijiji na kata ya Mwalukwa iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga (Vijijini) kuziba ukingo wa bwawa la Mwalukwa ambao umebomoka na kusababisha maji yatoroke.

Matiro aliyekuwa ameambatana na mkurugenzi wa halmashauri hiyo Bahati Kasinyo Mohammed pamoja na baadhi watendaji wa halmashauri akiwemo Injinia wa maji Silvester Mpemba aliungana na wananchi kuziba sehemu ya ukuta/ukingo wa bwawa iliyobomoka na kusababisha maji yavuje/yatoroke.

Bwawa hilo lililojengwa kwa nguvu ya wananchi kati ya mwaka 1941- 1951 linahudumia wananchi wa kata ya Mwalukwa yenye vijiji vinne ambavyo ni Ng’hama,Bulambila,Mwalukwa na Kadoto B lakini pia kijiji cha Mwamadilanha kilichopo katika kata ya Pandagichiza.

Akizungumza wa zoezi hilo la kuziba sehemu ya bwawa inayovuja,Mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Josephine Matiro aliwataka wananchi kutunza bwawa hilo wakati serikali inaendelea na utaratibu wa kufikisha huduma ya maji ya mradi wa Ziwa Victoria katika vijiji ambavyo havijafikiwa na mradi huo.

“Nimekuja hapa kuungana nanyi kuongeza nguvu ya kuzuia maji yasitoke,niwapongeze pia kwa kuja,naomba mtunze bwawa hili kwani kuna maeneo mengine wanatamani kuwa na bwawa kama hili,maafisa watendaji ,viongozi wa sungusungu na viongozi ngazi za vijiji na kata wekeni utaratibu wa kutunza hili bwawa kwa ajili ya matumizi ya binadamu na mifugo yenu”,alisema Matiro.

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro (kulia) akiwa amebeba karai la udongo aliouchimba kwa ajili ya kuziba ukingo/ukuta wa bwawa la Mwalukwa.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro (wa tatu kushoto) akiangalia maji yaliyoroka katika bwawa la Mwalukwa lililopo katika kata ya Mwalukwa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.Kulia ni wananchi wa kijiji cha Mwalukwa wakiweka mchanga kwenye mifuko ili kuzuia maji yasitoroke katika bwawa hilo.
Sehemu ya bwawa la Mwalukwa.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala DC SHINYANGA AUNGANA NA WANANCHI KUZUIA MAJI BWAWA LA MWALUKWA YASITOROKE

yaani makala yote DC SHINYANGA AUNGANA NA WANANCHI KUZUIA MAJI BWAWA LA MWALUKWA YASITOROKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC SHINYANGA AUNGANA NA WANANCHI KUZUIA MAJI BWAWA LA MWALUKWA YASITOROKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/dc-shinyanga-aungana-na-wananchi-kuzuia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC SHINYANGA AUNGANA NA WANANCHI KUZUIA MAJI BWAWA LA MWALUKWA YASITOROKE"

Post a Comment