CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO CHA UKAMANDA DULUTI

CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO CHA UKAMANDA DULUTI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO CHA UKAMANDA DULUTI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO CHA UKAMANDA DULUTI
kiungo : CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO CHA UKAMANDA DULUTI

soma pia


CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO CHA UKAMANDA DULUTI

Kushoto ni mkuu wa chuo cha ukamanda na unadhimu Duluti Meja Jenerali H.Masebu akitiliana saini na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Dk.Faraji Kasidi mkataba mpya wa ushirikiano (MoU) kati ya chuo cha uhasibu Arusha na chuo cha  unadhimu Duluti .Anayeshuhudiana wa kwanza kulia kwa upande wa chuo cha uhasibu Arusha ni Denson Ndiyemalila,upande wa kushoto ni shuhuda ni Emmanuel Nyivambe kutoka chuo cha Unadhimu Duluti.zoezi hilo lilifanyika katika chuo cha Uhasibu juzi jijini Arusha.(Habari Picha na Pamela Mollel)
Kushoto ni Mkuu wa chuo cha ukamanda na unadhimu Duluti Meja Jenerali H.Masebu akikabidhiana mkataba mpya wa ushirikiano(MoU) na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Dk.Faraji Kasidi mara baada ya kutiliana saini kati ya chuo cha uhasibu Arusha na chuo cha  unadhimu Duluti .
Kushoto ni mkuu wa chuo cha ukamanda na unadhimu Duluti Meja Jenerali H.Masebu akizungumza mara baada ya kutiliana saini  mkataba mpya wa ushirikiano(MoU) kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Dk.Faraji Kasidi .
Picha ya pamoja ya kumbukumbu mara  baada utilianaji saini huo.


Hivyo makala CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO CHA UKAMANDA DULUTI

yaani makala yote CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO CHA UKAMANDA DULUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO CHA UKAMANDA DULUTI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/chuo-cha-uhasibu-arusha-watiliana-saini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO CHA UKAMANDA DULUTI"

Post a Comment