title : BALOZI WA UFILIPINO AKUTANA NA IGP SIRRO
kiungo : BALOZI WA UFILIPINO AKUTANA NA IGP SIRRO
BALOZI WA UFILIPINO AKUTANA NA IGP SIRRO
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (kulia), akizungumza na Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe.Uriel Norman R. Garibay, mwenye Makazi yake Nairobi nchini Kenya aliyefika Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo ambapo pia wamejadiliana masuala mbalimbali ikiwamo Usalama pamoja na kuendeleza ushirikiano. Picha na Jeshi la Polisi.
IGP Simon Sirro, akiwa katika picha na Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe.Uriel Norman R. Garibay, mwenye Makazi yake Nairobi nchini Kenya pamoja na ujumbe alioongozananao Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo ambapo pia wamejadiliana masuala mbalimbali ikiwamo Usalama pamoja na kuendeleza ushirikiano.. Picha na Jeshi la Polisi.
Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe.Uriel Norman R. Garibay (kushoto), mwenye Makazi yake Nairobi nchini Kenya, akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, wakati alipofika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo ambapo pia ametumia fursa hiyo kujadiliana masula ya Kiusalama. Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala BALOZI WA UFILIPINO AKUTANA NA IGP SIRRO
yaani makala yote BALOZI WA UFILIPINO AKUTANA NA IGP SIRRO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI WA UFILIPINO AKUTANA NA IGP SIRRO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/balozi-wa-ufilipino-akutana-na-igp-sirro.html
0 Response to "BALOZI WA UFILIPINO AKUTANA NA IGP SIRRO"
Post a Comment