title : BALOZI MTEULE WA AUSTRALIA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTANBULISHO
kiungo : BALOZI MTEULE WA AUSTRALIA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTANBULISHO
BALOZI MTEULE WA AUSTRALIA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTANBULISHO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi Mteule wa Australia nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Mhe. WANG Ke kabla ya kwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho.
Balozi Mteule wa Australia nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Mhe. WANG Ke akiwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga leo jijini Dar es Salaam .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Balozi Mteule wa Australia nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Mhe. WANG Ke mara baada ya zoezi la kwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kukamilika.
Mazungumzo yanaendelea.
Hivyo makala BALOZI MTEULE WA AUSTRALIA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTANBULISHO
yaani makala yote BALOZI MTEULE WA AUSTRALIA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTANBULISHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI MTEULE WA AUSTRALIA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTANBULISHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/balozi-mteule-wa-australia-awasilisha.html
0 Response to "BALOZI MTEULE WA AUSTRALIA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTANBULISHO"
Post a Comment