AZAM NA JAMUHURI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR

AZAM NA JAMUHURI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AZAM NA JAMUHURI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AZAM NA JAMUHURI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR
kiungo : AZAM NA JAMUHURI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR

soma pia


AZAM NA JAMUHURI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR

KIPA wa Timu ya Jamuhiri Ali Khamis akijaribu kuokoa mpira uliopigwa na Mshambuliaji wa Timu ya Azam Benard Arthur akifunga bao la kwanza kwa Timu yake katika dakika ya 26 ya mchezo huo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar . Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 4. -0 dhidi ya Timu ya Jamuhuri katika michuano ya Kombe la Mapinduzi , doli la PIli la Timu ya Azam limefungwa na mshambuali Salmin Hoza katika dakika ya 48 ya mchezo huo kipindi cha pili na Bao la Tatu la Azam limefungwa na katika dakika ya 56 ya mchezo huo kupitiamchezaji wake Yahya Zayd.Timu ya Azam imefunga mchezo huo kwa kuandika bao la nne kupitia mshambuliaji wake Peter Paul katika dakika ya 79 ya mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa amaan Zanzibar.
WACHEZAJI wa Timu ya Azam wakishangilia bao lao la ushindi la nne lililofungwa na mshambuliaji wake Peter Paul katika kipindi cha pili cha mchezo huo.
BEKI wa Timu ya Jamuhuri Abdallah Juma akijaribu kumzuiya mshambuliaji wa Timu ya Azam wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Azam imeshinda bao 4 -0.
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Azam Bruce Kangwa akiruka kiunzi cha Beki wa Timu ya Jamuhuri Abdullatif Omar, wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Azam. imeshinda bao 4 -0.
KIPA wa Timu ya Jamuhuri Ali Khamis akidaka mpira huku mshambuliaji wa Timu ya Azam Benard Arthur akiwa tayari kutowa mashambulizi wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Azam imeshinda bao 4 -0.
BEKI wa Timu ya Jamuhuri Yussuf Makame akiokoa mpira golini kwao huku mshambuliaji wa Timu ya Azam Bruce Kangwa akijiandaa kuchukua mpira huo, wakati wa michuano ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Azam imeshinda bao 4 -0/uul wa tayari kul .(Picha na Othman Maulid)


Hivyo makala AZAM NA JAMUHURI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR

yaani makala yote AZAM NA JAMUHURI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AZAM NA JAMUHURI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/azam-na-jamuhuri-uwanja-wa-amaan.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AZAM NA JAMUHURI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR"

Post a Comment