Aishi Manula Kufunga Ndoa Kesho

Aishi Manula Kufunga Ndoa Kesho - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Aishi Manula Kufunga Ndoa Kesho, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Aishi Manula Kufunga Ndoa Kesho
kiungo : Aishi Manula Kufunga Ndoa Kesho

soma pia


Aishi Manula Kufunga Ndoa Kesho

 Aishi Manula Anatarajiwa Kufunga Ndoa Kesho
Huku michuano ya Kombe la Mapinduzi ikiendelea kisiwani Zanzibar, kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula hayupo katika kikosi hicho na anatarajiwa kufunga ndoa kesho Jumamosi.

Wakati Manula akifunga ndoa, timu yake itakuwa uwanjani kesho kuvaana na Azam FC kwenye michuano hiyo ikiwa ni mchezo wa makundi ambapo wote wapo Kundi A.

Kipa huyo alisema amefanya taratibu zote za kuomba ruhusa ili afanye namna ya kulimaliza suala hilo muhimu.

“Ni kweli sipo Zanzibar na timu kwa sababu nina ruhusa, Jumamosi ninatarajia kufunga ndoa ndiyo maana nimeshindwa kuungana na wenzangu kwa sasa kutokana na shughuli hiyo.

“Nawatakia kila la kheri wapambane na kufanya vyema, sijafahamu ni lini nitaweza kuungana na timu,” alisema Manula.


Hivyo makala Aishi Manula Kufunga Ndoa Kesho

yaani makala yote Aishi Manula Kufunga Ndoa Kesho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Aishi Manula Kufunga Ndoa Kesho mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/aishi-manula-kufunga-ndoa-kesho.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Aishi Manula Kufunga Ndoa Kesho"

Post a Comment