ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA

ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA
kiungo : ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA

soma pia


ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma, ikiwa ni ziara ya kikazi kukagua zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao. Katika ziara hiyo Naibu Waziri aliongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya Burundi, Pascal Barandagiye (hayupo pichani).
Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya Burundi, Pascal Barandagiye, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma, ikiwa ni ziara ya kikazi kukagua zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao.
wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma wakinyoosha mikono juu baada ya kuulizwa wangapi wanataka kurudi nchini kwao na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), katika mkutano wa hadhara ikiwa ni ziara ya kikazi ya naibu waziri kukagua zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya Burundi, Pascal Barandagiye (kulia), wakipiga ngoma baada ya kuwasili katika uwanja ulipofanyika mkutano wa hadhara uliowahusisha wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma. Ziara hiyo lengo lake ni kukagua zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya Burundi, Pascal Barandagiye (kulia), wakiagana baada ya kumaliza kuzungumza na wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma. Ziara hiyo lengo lake ni kukagua zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma, baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara ikiwa ni ziara ya kikazi kukagua zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Hivyo makala ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA

yaani makala yote ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/ziara-ya-naibu-waziri-mhandisi-masauni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA"

Post a Comment