title : Zanzibar Heroes Yapongezwa na Kuzawadia Fedha Na Viwanja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
kiungo : Zanzibar Heroes Yapongezwa na Kuzawadia Fedha Na Viwanja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
Zanzibar Heroes Yapongezwa na Kuzawadia Fedha Na Viwanja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud akimsalimia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya kuwasili katika viwanja vya Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo kujumuika na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanziba Heroes wakati wa Chakula cha Usiku alichowaandalia Mashujaha wa Zanzibar Heroes kwa hatua waliyofikia katika Michuano ya Kombe la Chalenji Nchini Kenya na kushika nafasi ya Pili ya Michuano hiyo baada ya kufungwa katika Mchezo wa Fainali na Timu ya Taifa ya Kenya kwa matuta 3 - 2.
Hivyo makala Zanzibar Heroes Yapongezwa na Kuzawadia Fedha Na Viwanja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
yaani makala yote Zanzibar Heroes Yapongezwa na Kuzawadia Fedha Na Viwanja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Zanzibar Heroes Yapongezwa na Kuzawadia Fedha Na Viwanja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/zanzibar-heroes-yapongezwa-na-kuzawadia.html
0 Response to "Zanzibar Heroes Yapongezwa na Kuzawadia Fedha Na Viwanja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein."
Post a Comment