WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA AFYA NKOWE

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA AFYA NKOWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA AFYA NKOWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA AFYA NKOWE
kiungo : WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA AFYA NKOWE

soma pia


WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA AFYA NKOWE

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiwa na mganga mkuu wa kituo cha afya Nkowe Dk. Paul Mbinga,wakati akikagua ujenzi wa nyumba ya daktari, Waziri Mkuu yupo Wilayani Ruangwa kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka ambapo aliamua kukagua miradi ya maendeleo jimboni kwake. Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akipewa maelezo ya ujenzi wa maabara katika kituo cha afya Nkowe na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ruangwa, Waziri Mkuu yupo Wilayani Ruangwa kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka ambapo aliamua kukagua miradi ya maendeleo jimboni kwake. Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Nkowe,baada ya kutembelea na kukagua kituo cha afya Nkowe Wilayani Ruangwa,. Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea wanachama wapya 60 wa Kata ya Nkowe Wilayani Ruangwa, kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM). Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Sister Nelly Membe wa Shirika la Bikira Maria Msaada wa Wakristu la Ndanda,katika Kata ya Nkowe Wilayani Ruangwa, Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Sister Mfurahishi Choaji wa Shirika la Bikira Maria Msaada wa Wakristu la Ndanda,katika Kata ya Nkowe Wilayani Ruangwa, Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua Tawi la vijana wakereketwa wa CCM la Majaliwa Camp,katika Kata ya Nkowe Wilayani Ruangwa, Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA AFYA NKOWE

yaani makala yote WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA AFYA NKOWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA AFYA NKOWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-akagua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA AFYA NKOWE"

Post a Comment