WAZIRI JAFO AHAIDI KULIVALIA NJUGA SUALA LA WAKANDARASI NCHINI AMBAO NI WAZEMBE KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO

WAZIRI JAFO AHAIDI KULIVALIA NJUGA SUALA LA WAKANDARASI NCHINI AMBAO NI WAZEMBE KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JAFO AHAIDI KULIVALIA NJUGA SUALA LA WAKANDARASI NCHINI AMBAO NI WAZEMBE KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JAFO AHAIDI KULIVALIA NJUGA SUALA LA WAKANDARASI NCHINI AMBAO NI WAZEMBE KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO
kiungo : WAZIRI JAFO AHAIDI KULIVALIA NJUGA SUALA LA WAKANDARASI NCHINI AMBAO NI WAZEMBE KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO

soma pia


WAZIRI JAFO AHAIDI KULIVALIA NJUGA SUALA LA WAKANDARASI NCHINI AMBAO NI WAZEMBE KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO

NA VICTOR MASANGU, KISARAWE 

WAZIRI wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo ameahidi kulivalia njuga suala la baadhi ya wakandarasi hapa nchini ambao ni wazembe na wanashindwa kutekeleza majukumu yao kwa wakati waliopangiwa ikiwemo sambamba na watendaji wavivu ambao wanachangia kwa kiasi kikubwa kukwamisha juhudi za seriklali ya awamu ya tano katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa wananchi na badala yake watachukulia hatua kali za kisheria ikiwemo kuwafikisha mahakamani.

Jafo ametoa kaui hiyo wakati wa ziara yake ya siku moja katika Wilaya ya Kisarawe kwa ajili ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwemo sekta ya elimu, miundombinu ya barabaraba, afya pamoja na sekya sambamba na kusikiliza kero zinazowakabili wananchi ii kuweza kusisikiliza na kizitafutia ufumbufu wa kudumu.

Alisema kwamba alibaini kuna wakandarasi wengine wanapewa kazi lakini cha kushangaza wanakamilisha mradi ambao unajengwa chini ya kiwango kinachotakiwa hivyo amesema kamwe hawezi kulifumbia macho suala hilo na kuongeza kuwa atakayebainika amehusika kuhujumu miradi hiyo atafikishwa mahakamani pamoja na kufukuzwa kazi ii iwe fundisho kwa wengine.

Hata hivyo katika hatua nyingine Jafo aliwatoa wasi wasi wananchi wa Kisarawe, Mkoani Pwani kuimaliza changamoto sugu ya iliyodumu kwa kipindi cha muda mrefu cha ukosefu wa upatikanaji wa huduma ya maji ambapo amebainisha serikali ya awamu ya tano imetenga kiasi cha shilingi bilioni 10 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji ambao chanzo chake kitaanzia mto Ruvu na kusambazwa katika maeneo mbali mbali ya Kisarawe.
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Selemani Jafo akikagua daraja la Gologombe ambalo limejengwa katika kata ya mafizi wakati alipofanya ziara yake ya kikazi ya siku moja Wilayani Kisarawe kwa ajili ya kuweza kutembelea miradi mbali mbali ya maenedeleo na kujione a changamoto zilizopo.
Waziri Jafo baada ya kutembelea mradi wa shule ya msingi Mtengwe ambayo kwa sasa inafanyiwa ukarabati wa baadhi ya madarasa ambayo yalikuwa yapo katika hali mbaya kutokana na uchakavu wa miundombinu yake.
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Seleman Jafo wa kulia akitoka kukagua mradi wa bwawa kubwa la kuhifadhia maji lililopo kata ya Chole ambalo litaweza kuwanufaisha wakazi wa eneo hilo na maeneo mengine ya jirani kuweza kupata huduma ya maji.PICHA ZOTE NA VICTOR MASANGU.





Hivyo makala WAZIRI JAFO AHAIDI KULIVALIA NJUGA SUALA LA WAKANDARASI NCHINI AMBAO NI WAZEMBE KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO

yaani makala yote WAZIRI JAFO AHAIDI KULIVALIA NJUGA SUALA LA WAKANDARASI NCHINI AMBAO NI WAZEMBE KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JAFO AHAIDI KULIVALIA NJUGA SUALA LA WAKANDARASI NCHINI AMBAO NI WAZEMBE KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/waziri-jafo-ahaidi-kulivalia-njuga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI JAFO AHAIDI KULIVALIA NJUGA SUALA LA WAKANDARASI NCHINI AMBAO NI WAZEMBE KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO"

Post a Comment