WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUKABIDHI VIFAA KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR.

WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUKABIDHI VIFAA KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUKABIDHI VIFAA KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUKABIDHI VIFAA KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR.
kiungo : WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUKABIDHI VIFAA KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR.

soma pia


WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUKABIDHI VIFAA KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel wakishiriki kufanya usafi katika hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, zoezi ambalo lilifanyika hivi karibuni mjini Zanzibar. Tofauti na kufanya usafi, Zantel ilikabidhi vifaa vya usafi ikiwemo mifagio, ndoo na mafyekeo vyenye jumla ya thamani ya Sh. 400,000/= kwa ajili ya kuimarisha mfumo wa usafi na kuzuia maambukizi kwa watu wanaofika hospitalini hapo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dk. Msafiri Marijani (Mwenye fulana ya bluu kushoto) akitoa neno la Shukrani kwa Mkuu wa Zantel, Zanzibar Mohamed Mussa Baucha (kulia) na wafanyakazi wote wa Zantel mara baada ya wafanyakazi hao kufanya usafi na kukabidhi vifaa vya usafi vyenye jumala ya thamani ya Sh.400,000 hospitalini hapo hivi karibuni mjini Zanzibar.
Mkuu wa Zantel, Zanzibar Mohamed Mussa Baucha (kulia) akikabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dk. Msafiri Marijani mara baada ya kumaliza zoezi la kufanya usafi katika eneo la hospitali hiyo iliyopo Zanzibar hivi karibuni. Zantel ilikabidhi vifaa vyenye jumala ya thamani ya Sh.400, 000 hospitalini hapo.


Hivyo makala WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUKABIDHI VIFAA KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR.

yaani makala yote WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUKABIDHI VIFAA KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUKABIDHI VIFAA KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/wafanyakazi-wa-zantel-washiriki-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUKABIDHI VIFAA KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR."

Post a Comment