VIWANGO VYA FIDIA VINAWEZA KUTOFAUTIANA BAINA YA MTU NA MTU LICHA YA KUFANANA ULEMAVU; DKT. MHINA

VIWANGO VYA FIDIA VINAWEZA KUTOFAUTIANA BAINA YA MTU NA MTU LICHA YA KUFANANA ULEMAVU; DKT. MHINA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIWANGO VYA FIDIA VINAWEZA KUTOFAUTIANA BAINA YA MTU NA MTU LICHA YA KUFANANA ULEMAVU; DKT. MHINA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIWANGO VYA FIDIA VINAWEZA KUTOFAUTIANA BAINA YA MTU NA MTU LICHA YA KUFANANA ULEMAVU; DKT. MHINA
kiungo : VIWANGO VYA FIDIA VINAWEZA KUTOFAUTIANA BAINA YA MTU NA MTU LICHA YA KUFANANA ULEMAVU; DKT. MHINA

soma pia


VIWANGO VYA FIDIA VINAWEZA KUTOFAUTIANA BAINA YA MTU NA MTU LICHA YA KUFANANA ULEMAVU; DKT. MHINA

  NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, Mbeya
VIWANGO vya madhara ya kuumia vinahusika sana katika kufikia matokeo ya tathmini anayofanyiwa mfanyakazi aliyeumia mahala pa kazi, Daktari bingwa mbobezi wa mifupa na viungo nchini, Dkt. Robert Mhina, (pichani juu), amesema.
Dkt. Mhina ameyasema hayo wakati akiwasilisha mada juu ya misingi inayopaswa kuzingatiwa na daktari au mtoa huduma ya afya wakati akimfanyia tathmini mfanyakazi aliyeumia mahala pa kazi, kwenye mafunzo ya siku tano yaliyoandaliwa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), ili kuwajengea uwezo madaktari na watoa huduma za afya kutoka mikoa ya nyanda za juu Kusini yanayoendelea kwenye ukumbi wa Benjamin Mkapa jijini Mbeya.
Akifafanua Dkt. Mhina alisema, Viwango vya fidia vitatofautiana kulingana na viwango vya madhara aliyopata mtu kulingana na kazi anayofanya. “Mfano dereva aliyevunjika mguu ambao anautumia kukanyaga klachi na gia katika kazi yake, fidia yake haiwezi kulingana na mhudumu wa ofisi ambaye naye amevunjika mguu” Alisema na kufafanua kuwa.
“Dereva hawezi tena kuendelea na kazi yake ya udereva kwa vile hana mguu tena ambao aliutegemea kufanya kazi, lakini mhudumu anaweza kutumia gongo na akatembea, ingawa muda wa kufika mahala fulani katika ofisi utakuwa tofauti, lakini anaweza kuhamisha mafaili kutoka sehemu moja kwenda nyingine na kwa maana hiyo bado ataendelea kufanya kazi hiyo tofauti na dereva.” Alisema
Kwa msingi huo, Dkt. Mhina ambaye pia ni mshauri wa masuala ya tiba alisema “Wananchi na wafanyakazi wanapaswa kujua kuwa mafao yatatolewa kutegemea na athari au kazi mtu anayofanya na hayawezi kufanana katika kupiga hesabu za kutoa mafao, kwani kuna vitu vya ziada vinapaswa kuzingatiwa pia.
 Dkt. Hussein Mwanga, akiwasilisha mada juu ya tathmini ya maradhi ya ngozi na kansa mahala pa kazi.
 Afisa Mwandamizi anayeshughulikia madai ya fidia (Claims), Bw.Lembo, akizungumza
 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusoianio WCF, Bi. Laura Kunenge, akizungumza.


Baadhi ya washiriki

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala VIWANGO VYA FIDIA VINAWEZA KUTOFAUTIANA BAINA YA MTU NA MTU LICHA YA KUFANANA ULEMAVU; DKT. MHINA

yaani makala yote VIWANGO VYA FIDIA VINAWEZA KUTOFAUTIANA BAINA YA MTU NA MTU LICHA YA KUFANANA ULEMAVU; DKT. MHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIWANGO VYA FIDIA VINAWEZA KUTOFAUTIANA BAINA YA MTU NA MTU LICHA YA KUFANANA ULEMAVU; DKT. MHINA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/viwango-vya-fidia-vinaweza-kutofautiana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIWANGO VYA FIDIA VINAWEZA KUTOFAUTIANA BAINA YA MTU NA MTU LICHA YA KUFANANA ULEMAVU; DKT. MHINA"

Post a Comment