title : UNHCR: YAELEZA NAMNA INAVYOFANYA SHUGHULI ZAKE KWA WANA HABARI WALIOTEMBELEA KAMBI ZA NDUTA NA MTENDELI
kiungo : UNHCR: YAELEZA NAMNA INAVYOFANYA SHUGHULI ZAKE KWA WANA HABARI WALIOTEMBELEA KAMBI ZA NDUTA NA MTENDELI
UNHCR: YAELEZA NAMNA INAVYOFANYA SHUGHULI ZAKE KWA WANA HABARI WALIOTEMBELEA KAMBI ZA NDUTA NA MTENDELI
Ofisa wa Masuala ya Maji na Usafi wa Mazingira kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR), Nosakhare Boadi akizungumza wakati wa Mkutano wa kutoa maelezo kwa ufupi kwa Ujumbe wa Waandishi wa Habari watano kutoka Vyombo mbalimbali nchini Tanzania.
Mtaalamu wa Masuala ya Ukatili wa Kijinsia na Ustawi wa Jamii Kutoka Shirika la kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR),Rehema Katyega akizungumza na ujumbe wa Waandishi wa Habari waliotembelea Kambi za Nduta na Mtendeli Mkoani Kigoma.
Sehemu ya Ujumbe wa Waandishi wa habari waliotembelea Kambi za Wakimbizi za Mtendeli na Nduta Mkoani Kigoma kujionea shughuli zinazotekelezwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR) pamoja na Wadau mbalimbali .
Wafanyakazi wa Ofisi ndogo ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR) Kibondo mkoani Kigoma wakifatilia kwa karibu mkutano wa maelezo mafupi juu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za shirika hilo katika kambi za Wakimbizi za Nduta na Mtendeli
Sehemu ya Wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR) wakiwa katika mkutano huo
Hivyo makala UNHCR: YAELEZA NAMNA INAVYOFANYA SHUGHULI ZAKE KWA WANA HABARI WALIOTEMBELEA KAMBI ZA NDUTA NA MTENDELI
yaani makala yote UNHCR: YAELEZA NAMNA INAVYOFANYA SHUGHULI ZAKE KWA WANA HABARI WALIOTEMBELEA KAMBI ZA NDUTA NA MTENDELI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UNHCR: YAELEZA NAMNA INAVYOFANYA SHUGHULI ZAKE KWA WANA HABARI WALIOTEMBELEA KAMBI ZA NDUTA NA MTENDELI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/unhcr-yaeleza-namna-inavyofanya.html
0 Response to "UNHCR: YAELEZA NAMNA INAVYOFANYA SHUGHULI ZAKE KWA WANA HABARI WALIOTEMBELEA KAMBI ZA NDUTA NA MTENDELI"
Post a Comment