Tigo na WorldRemit washuhudia ukuaji mkubwa katika huduma ya kuhamisha fedha katika akaunti za simu za mkononi Tanzania

Tigo na WorldRemit washuhudia ukuaji mkubwa katika huduma ya kuhamisha fedha katika akaunti za simu za mkononi Tanzania - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tigo na WorldRemit washuhudia ukuaji mkubwa katika huduma ya kuhamisha fedha katika akaunti za simu za mkononi Tanzania, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tigo na WorldRemit washuhudia ukuaji mkubwa katika huduma ya kuhamisha fedha katika akaunti za simu za mkononi Tanzania
kiungo : Tigo na WorldRemit washuhudia ukuaji mkubwa katika huduma ya kuhamisha fedha katika akaunti za simu za mkononi Tanzania

soma pia


Tigo na WorldRemit washuhudia ukuaji mkubwa katika huduma ya kuhamisha fedha katika akaunti za simu za mkononi Tanzania

Mkuu wa Kanda ya Mashariki ya Kati na Africa wa kampuni ya World Remit, Andrew Stewart akizungumza jambo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kutangaza ushirikiano baina ya kampuni yake na Tigo Tanzania unaowezesha Watanzania walioko nje ya nchi kutuma pesa kwa simu zao za mkononi kwenda kwa huduma ya Tigo Pesa. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Tigo, Hussein Sayed.
Afisa Mkuu wa Huduma za Kifedha za Simu za Mkononi wa Kampuni ya Tigo Tanzania, Hussein Sayed akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kutangaza ushirikiano baina ya kampuni yake na Tigo Tanzania unaowezesha Watanzania walioko nje ya nchi kutuma pesa kwa simu zao za mkononi kwenda kwa huduma ya Tigo Pesa. Kulia ni  Mkuu wa Kanda ya Mashariki ya Kati na Africa wa kampuni ya World Remit, Andrew Stewart.
Meneja Uhusiano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kutangaza ushirikiano baina ya kampuni ya Tigo na ile ya World Remit unaowezesha Watanzania walioko nje ya nchi kutuma pesa kwa simu zao za mkononi kwenda Tigo Pesa. Kulia ni Afisa Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Tigo, Hussein Sayed na Andrew Stewart, Mkuu wa Kanda ya Mashariki ya Kati na Africa wa kampuni ya World Remit .

WorldRemit na Kampuni ya kidigitali Tigo Tanzania wameshuhudia ukuaji wa kasi wa huduma za kuhamisha fedha kwenda katika akaunti za fedha za simu za mkononi nchini Tanzania, taarifa zimebainisha.

Katika kipindi cha miaka miwili cha ushirikiano baina ya kampuni hizi, huduma ya Tigo imebainika kuwa ndiyo huduma ya kutuma fedha inayokuwa kwa kasi zaidi miongoni mwa washirika wa WorldRemit.

Huduma hii inawawezesha Watanzania katika zaidi ya nchi 50 kutuma fedha kwenda katika akaunti za fedha za simu za mikononi kwa haraka. Wamiliki wa akaunti za fedha za simu za mkononi pia wanakuwa na uwezo wa kutuma fedha ndani ya nchi, kununua muda wa maongezi, kulipia ankara au kutoa fedha taslimu kupitia mtandao mkubwa wa mawakala wa Tigo.



Hivyo makala Tigo na WorldRemit washuhudia ukuaji mkubwa katika huduma ya kuhamisha fedha katika akaunti za simu za mkononi Tanzania

yaani makala yote Tigo na WorldRemit washuhudia ukuaji mkubwa katika huduma ya kuhamisha fedha katika akaunti za simu za mkononi Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tigo na WorldRemit washuhudia ukuaji mkubwa katika huduma ya kuhamisha fedha katika akaunti za simu za mkononi Tanzania mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/tigo-na-worldremit-washuhudia-ukuaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tigo na WorldRemit washuhudia ukuaji mkubwa katika huduma ya kuhamisha fedha katika akaunti za simu za mkononi Tanzania"

Post a Comment