SHAKA ATEMA NYONGO,ASEMA YUPO TAYARI KUWAJIBA IWAPO KUNA UFISADI

SHAKA ATEMA NYONGO,ASEMA YUPO TAYARI KUWAJIBA IWAPO KUNA UFISADI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHAKA ATEMA NYONGO,ASEMA YUPO TAYARI KUWAJIBA IWAPO KUNA UFISADI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHAKA ATEMA NYONGO,ASEMA YUPO TAYARI KUWAJIBA IWAPO KUNA UFISADI
kiungo : SHAKA ATEMA NYONGO,ASEMA YUPO TAYARI KUWAJIBA IWAPO KUNA UFISADI

soma pia


SHAKA ATEMA NYONGO,ASEMA YUPO TAYARI KUWAJIBA IWAPO KUNA UFISADI


Na Said Mwishehe,blogu ya jamii

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM)Shaka Hamdu Shaka amesema yupo tayari kuwajibika iwaoi itabainika anefanya ufisaidi wa aina yoyote katika utendaji wake kwenye nafasi aliyonayo sasa.

Shaka ametoa kauli hiyo kwenye ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni jijini Dar es Salaam leo kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Umoja huo Taifa Kheir James Denis ambaye amepokelewa rasmi na kutambulishwa kwa vijana wa mkoa huo.

Amesema katika nafasi hiyo amekuwa akifanya jitihada mbalimbali za kutetea mali za umoja huo na kwa bahati mbaya hatua hiyo imemfanya apigwe vita na kumkwamisha.Amesema chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa,Dk.John Magufuli ataendelea kusimama imara kusimamia rasilimali za umoja huo na hatarudi nyuma.

Amesema amekuwa katika mazingira magumu yanayotokana na kupigwa na ikafika mahali baadhi ya watu wakaanza kumzushia mambo ambayo hayana ukweli wowote.Ametumia nafasi kueleza wazi yupo tayari kuchunguzwa na kuwa tayari kuwajibika iwapo itabainika ameshiriki kufuja mali za umoja huo."Nimeshambuliwa na kupigwa vita kwasababu tu ya kuwa na msimamo thabiti wa kusimamia mali za jumuiya na maadili.

" Naomba niseme leo hii ni siku ya historia kwangu kwani nimetoa la moyoni ambalo nimekuwa nalo muda mrefu,nimeshambuliwa na kupigwa vita bila sababu.Niseme nipo tayari kuwajibika kama nitabainika kufanya ufisadi kwa kutumia bafasi yangu,"amesema Shaka.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SHAKA ATEMA NYONGO,ASEMA YUPO TAYARI KUWAJIBA IWAPO KUNA UFISADI

yaani makala yote SHAKA ATEMA NYONGO,ASEMA YUPO TAYARI KUWAJIBA IWAPO KUNA UFISADI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHAKA ATEMA NYONGO,ASEMA YUPO TAYARI KUWAJIBA IWAPO KUNA UFISADI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/shaka-atema-nyongoasema-yupo-tayari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHAKA ATEMA NYONGO,ASEMA YUPO TAYARI KUWAJIBA IWAPO KUNA UFISADI"

Post a Comment