title : RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO.
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO.
RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Coconut Marumbi Wilaya ya Kusini Unguja.
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdallah Juma Mabodi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeri rasmin Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein kufungua Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa coconut marumbi Unguja.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipiga kura yake kuwachagua Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Marumbi Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika ukumbi wa mkutano katika hoteli ya coconut marumbi wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano huo.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO.
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/rais-wa-zanzibar-dk-shein-afungua.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO."
Post a Comment