MAKONDA, IGP SIRO WATEULIWA KAMATI ZA MAANDALIZI AFCON U17.

MAKONDA, IGP SIRO WATEULIWA KAMATI ZA MAANDALIZI AFCON U17. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKONDA, IGP SIRO WATEULIWA KAMATI ZA MAANDALIZI AFCON U17., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKONDA, IGP SIRO WATEULIWA KAMATI ZA MAANDALIZI AFCON U17.
kiungo : MAKONDA, IGP SIRO WATEULIWA KAMATI ZA MAANDALIZI AFCON U17.

soma pia


MAKONDA, IGP SIRO WATEULIWA KAMATI ZA MAANDALIZI AFCON U17.

Tokeo la picha la picha ya makonda na saimon sirro

Wakati Makonda, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu, Abubakar Bakhresa ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kamati ya Usafiri na Malazi.
Uteuzi huo umefanywa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya Rais wake, Wallace Karia na Makonda atasaidiwa na Makamu Mwenyekiti, Yusuph Singo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Michezo, Wajumbe Sunday Kayuni, Leslie Liunda, Nassoro Idrissa ‘Father’, Mohamed Kiganja ambaye ni Katibu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na Mhandisi Davis Shemangale.
 
Bakhresa atakuwa chini ya Mwenyekiti Mhandisi Ladislaus Matindi na Wajumbe Aziz Abood, Ahmed Mgoyi, Ahmed Shabiby, Dk. Maige Mwakasege Mwasimba na Shebe Machumani.
 
TFF pia imeunda Kamati ya Masoko na Habari chini ya Mwenyekiti, Kelvin Twissa na Wajumbe Mwandishi wa Habari za Michezo na Katibu wa zamani wa TFF, Angetile Osiah, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dk. Hassan Abbas, Dk. Omari Swaleh wa  Chuo Kikuu cha Mzumbe, Mkurugenzi wa AMG Group Iman Kajula na Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando.
 
Kamati nyingine ni ya Fedha na Mipango itakayokuwa chini ya Mwenyekiti, Doto James na Wajumbe Mohamed Dewji, Dk. Seif Muba, Bernard Lubogo, Paul Bilabaye, Jacquelline Woiso na Cornel Barnabas.
 
Kamati ya Uratibu Utalii itakuwa chini ya Mwenyekiti, Dk Khamis Kigwangala na Wajumbe , Allan Kijazi Devotha Mdachi ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke, Hoyce Temu, Leah Kihumbi ambaye ni Mkurugenzi wa Sanaa na Makamu Rais wa zamani wa TFF, Athuman Nyamlani.
 
Kamati ya Itifaki, Mwenyekiti ni Mndolwa Yusuph ambaye ni Kamishna Mkuu wa Uhamiaji na Wajumbe Filbert Bayi, Mkurugenzi Uwanja wa Ndege JNIA, Happiness Luangisa, Alex Makoye Nkenyenge na Alhaji Idd Mshangama.
 
Kamati ya Tiba na Udhibiti wa Dawa za Kusisimua Misuli itakuwa chini ya Mwenyekiti, Profesa Lawrence Museru, Dk. Paul Marealle, Dk. Edmund Ndalama, Dk. Christina Luambano, Daktari Mkuu wa Hospitali ya Temeke na Hiiti Sillo.
 
Kamati ya Sheria na Taratibu Mwenyekiti ni William Erio na Wajumbe Dk. Damas Ndumbaro, Edwin Kidifu, Ally Mayai na Khalid Abeid.
 
Kamati ya Ulinzi na Usalama Mwenyekiti ni  IGP Simon Siro na Wajumbe Michael Wambura, CP. Andengenye wa Zimamoto, CP. Lazaro Mambosasa wa Polisi Kanda Maalum ya Dar-es-Salaam, Mkuu wa Askari wa Usalama Barabarani, TISS na Jonas Mahanga.
 
Kamati ya Rasilimali Watu itakuwa chini ya Mwenyekiti Dk. Francis Michael, Allan Kijazi, Wane Mkisi, Juliana Yassoda na Gerald Mwanilwa.
 
Kamati hizo ndogo zitakuwa chini ya Kamati Kuu inayoongozwa na Mwenyekiti Dk. Harrison Mwakyembe (MP); Makamu Mwenyekiti wa Leodegar Tenga na Mtendaji Mkuu wa Kamati hiyo ni Henry B. Tandau.


Hivyo makala MAKONDA, IGP SIRO WATEULIWA KAMATI ZA MAANDALIZI AFCON U17.

yaani makala yote MAKONDA, IGP SIRO WATEULIWA KAMATI ZA MAANDALIZI AFCON U17. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKONDA, IGP SIRO WATEULIWA KAMATI ZA MAANDALIZI AFCON U17. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/makonda-igp-siro-wateuliwa-kamati-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKONDA, IGP SIRO WATEULIWA KAMATI ZA MAANDALIZI AFCON U17."

Post a Comment