title : RAIS WA ZANZIBAR AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA WACHEZAJI WA ZANZIBAR HEROES IKULU LEO
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA WACHEZAJI WA ZANZIBAR HEROES IKULU LEO
RAIS WA ZANZIBAR AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA WACHEZAJI WA ZANZIBAR HEROES IKULU LEO
Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakipata chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein. Ikulu Zanzibar, kuipongeza Timu hiyo kwa ushujaa wake katika michuano ya Kombe la Chalenji nchini Kenya hivi karibuni ambapo walitinga fainali na kushindwa kwa taabu kwa njia ya penati
Viongozi wa Timu ya Zanzibar Heroes wakijumuika katika chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar leo
Kocha Mkuu wa Zanzibar Heroes Hemed Moroco akitowa shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Ikulu
Rais wa nzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimpongeza Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Morocco kwa kwa jitihada zake alizoonesha kwa Timu ya Taifa ya Zanzibar kufikia hatua ya Fainali katika michuano ya Chalenji wiki iliyo
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA WACHEZAJI WA ZANZIBAR HEROES IKULU LEO
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA WACHEZAJI WA ZANZIBAR HEROES IKULU LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA WACHEZAJI WA ZANZIBAR HEROES IKULU LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/rais-wa-zanzibar-awaandalia-chakula-cha.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA WACHEZAJI WA ZANZIBAR HEROES IKULU LEO"
Post a Comment