Prof Lipumba ashangaa kuzushiwa ugonjwa

Prof Lipumba ashangaa kuzushiwa ugonjwa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Prof Lipumba ashangaa kuzushiwa ugonjwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Prof Lipumba ashangaa kuzushiwa ugonjwa
kiungo : Prof Lipumba ashangaa kuzushiwa ugonjwa

soma pia


Prof Lipumba ashangaa kuzushiwa ugonjwa

Na Baba Feilsal.

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi(CUF) Ibrahimu Lipumba amesema afya yake iko imara na hana tatizo lolote kiafya.

Ametoa kauli hiyo  muda huu wakati akizungumza na Michuzi Blog kwa njia ya simu ambapo amesema anashangazwa na taarifa ambazo zipo kwenye baadhi ya mitandao kuwa anaumwa na amelazwa Hospitali ya Agha Khan.

"Nimeshangaa sana kusikia eti kuna taarifa zinadai nimepatwa na nshtuko, taarifa hizo si za kweli na ndio hizo hizo zinaitwa feck news.Nipo imara na najiandaa kwenda msikiti na baada ya hapo nitakwenda makao makuu ya chama kwa ajili ya kusimamia kikao," amesema Prof Lipumba.

Amefafanua hakuwa anajua kinachoendelea mtandaoni kuhusu yeye kwani anapoingia kwenye mtandao ni kwa ajili ya kuangalia tafiti mbalimbali na si taarifa za kuzusha.

Amesema alishangaa kuona anapigiwa simu na watu mbalimbali wakimpa pole ya ugonjwa ndipo aliposhangaa na kuanza kufuatilia chanzo cha hiyo taarifa.

Nimepata fursa ya kuzungunza kwa kirefu na prof lipumba yupo bukheri wa afya njema  na ameshangazwa na uzushi kuwa ameptwa na mshutuko.


Hivyo makala Prof Lipumba ashangaa kuzushiwa ugonjwa

yaani makala yote Prof Lipumba ashangaa kuzushiwa ugonjwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Prof Lipumba ashangaa kuzushiwa ugonjwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/prof-lipumba-ashangaa-kuzushiwa-ugonjwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Prof Lipumba ashangaa kuzushiwa ugonjwa"

Post a Comment