Polisi Wamtia Mbaroni mwanamke Aliyeonekana kwenye Video Akimvisha mwenzake pete ya uchumba Geita

Polisi Wamtia Mbaroni mwanamke Aliyeonekana kwenye Video Akimvisha mwenzake pete ya uchumba Geita - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Polisi Wamtia Mbaroni mwanamke Aliyeonekana kwenye Video Akimvisha mwenzake pete ya uchumba Geita, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Polisi Wamtia Mbaroni mwanamke Aliyeonekana kwenye Video Akimvisha mwenzake pete ya uchumba Geita
kiungo : Polisi Wamtia Mbaroni mwanamke Aliyeonekana kwenye Video Akimvisha mwenzake pete ya uchumba Geita

soma pia


Polisi Wamtia Mbaroni mwanamke Aliyeonekana kwenye Video Akimvisha mwenzake pete ya uchumba Geita


Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mtumishi wa mgodi wa GGM, Milembe Suleiman anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja.

Mfanyakazi huyo ambaye ni ofisa ugavi kitengo cha manunuzi anashikiliwa baada ya ‘video’ inayomwonyesha akimvisha pete ya uchumba mwanamke mwenzake kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

Video hiyo ambayo imezua mijadala hasa ikizingatia kwamba iko kinyume cha utamaduni wa Kitanzania na Serikali ambayo imekuwa ikikemea na kupiga marufuku vitendo vya mapenzi ya jinsi moja.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo amesema wanamshikilia kuwa uchunguzi kwa kuwa nchi hairuhusu mambo hayo.

Ofisa Habari wa GGM, Dili Tenga amesema hayo ni masuala binafsi ya mfanyakazi hivyo wao kama mgodi hawawezi kuyazungumzia lakini wanaviachia vyombo vya dola viendelee na uchunguzi wake.


Hivyo makala Polisi Wamtia Mbaroni mwanamke Aliyeonekana kwenye Video Akimvisha mwenzake pete ya uchumba Geita

yaani makala yote Polisi Wamtia Mbaroni mwanamke Aliyeonekana kwenye Video Akimvisha mwenzake pete ya uchumba Geita Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Polisi Wamtia Mbaroni mwanamke Aliyeonekana kwenye Video Akimvisha mwenzake pete ya uchumba Geita mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/polisi-wamtia-mbaroni-mwanamke.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Polisi Wamtia Mbaroni mwanamke Aliyeonekana kwenye Video Akimvisha mwenzake pete ya uchumba Geita"

Post a Comment