title : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI HILO MKOANI DODOMA
kiungo : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI HILO MKOANI DODOMA
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI HILO MKOANI DODOMA
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiongoza Kikao kazi cha siku moja cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza, Kikao hicho kimefanyika leo Desemba 1, 2017 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Gereza Kuu Isanga, Mkoani Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Magereza Mikoa pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakifuatilia kwa makini maelekezo kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(hayupo pichani)katika Kikao kazi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Bwalo la Gereza Kuu Isanga, Mkoani Dodoma.
Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga akiwasilisha taarifa fupi katika Kikao kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Gereza Kuu Isanga, Mkoani Dodoma.
Wajumbe wa Sekretarieti wakifuatilia kikao kazi hicho kilichoongozwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza leo Desemba 1, 2017 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Gereza Kuu Isanga, Mkoani Dodoma.
Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI HILO MKOANI DODOMA
yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI HILO MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI HILO MKOANI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/kamishna-jenerali-wa-magereza-dkt-juma.html
0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI HILO MKOANI DODOMA"
Post a Comment