title : Neno la Rais Magufuli kwa Watanzania Katika Sikuu ya X-Mass
kiungo : Neno la Rais Magufuli kwa Watanzania Katika Sikuu ya X-Mass
Neno la Rais Magufuli kwa Watanzania Katika Sikuu ya X-Mass
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kuwatakia heri Watanzania wote katika kusherehekea siku ya Christmas na mwaka mpya.
Magufuli ametoa salamu zake hizo kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa ambapo rais amewataka Watanzania kusherehekea sikukuu hizo kwa utulivu na amani na kuwataka Watanzania mwaka 2018 kuwa pamoja ili nchi iweze kufanikiwa zaidi na zaidi.
Hivyo makala Neno la Rais Magufuli kwa Watanzania Katika Sikuu ya X-Mass
yaani makala yote Neno la Rais Magufuli kwa Watanzania Katika Sikuu ya X-Mass Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Neno la Rais Magufuli kwa Watanzania Katika Sikuu ya X-Mass mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/neno-la-rais-magufuli-kwa-watanzania.html
0 Response to "Neno la Rais Magufuli kwa Watanzania Katika Sikuu ya X-Mass"
Post a Comment