title : NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFANYA ZIARA KATIKA MAMLAKA YA MAWASILIANO NCHINI (TCRA)
kiungo : NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFANYA ZIARA KATIKA MAMLAKA YA MAWASILIANO NCHINI (TCRA)
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFANYA ZIARA KATIKA MAMLAKA YA MAWASILIANO NCHINI (TCRA)
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA).
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akisalimiana na wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) alipofanya ziara katika ofisi hizo ili kujitambulisha na kukagua huduma mbalimbali wanazozitoa katika sekta ya mawasiliano hapa nchini Tanzania.
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa TCRA kuhusu vifaa vya mawasiliano vilivyotumika zamani alipotembelea makumbusho ya Mamlaka hiyo katika ziara ya kujitambulisha na kukagua huduma ya mawasiliano.
Picha ya pamoja na wafanyakazi wa TCRA
Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFANYA ZIARA KATIKA MAMLAKA YA MAWASILIANO NCHINI (TCRA)
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFANYA ZIARA KATIKA MAMLAKA YA MAWASILIANO NCHINI (TCRA) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFANYA ZIARA KATIKA MAMLAKA YA MAWASILIANO NCHINI (TCRA) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/naibu-waziri-wa-uchukuzi-na-mawasiliano.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFANYA ZIARA KATIKA MAMLAKA YA MAWASILIANO NCHINI (TCRA)"
Post a Comment