title : NAIBU WAZIRI WA MICHEZO JULIANA SHONZA AFUNGUA TAMASHA LA MICHEZO KARATU LEO
kiungo : NAIBU WAZIRI WA MICHEZO JULIANA SHONZA AFUNGUA TAMASHA LA MICHEZO KARATU LEO
NAIBU WAZIRI WA MICHEZO JULIANA SHONZA AFUNGUA TAMASHA LA MICHEZO KARATU LEO
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe Juliana Shonza (katikati) akimaliza mbio za kilomita tano wakati wa kufunga Tamasha la Michezo Karatu lililofanyika mjini Karatu leo tarehe 23/12/2012
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Juliana Shonza (katikatika) akishiriki mbio za kilomita tano wakati wakufunga Tamasha la Michezo Karatu lililofanyika mjini Karatu leo tarehe 23/12/2017, kutoka kulia wakwanza ni Mkuu wa Wilaya ya Karatu Bi Teresia Mahongo,Afisa utamaduni na michezo wiliya ya Karatu Ndg Laurent P. manonha na wakwanza kushoto kulia kwake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Karatu Ndg. Waziri Mourice
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe Juliana Shonza akipiga risasi juu kuashiria kuanza kwa mbia za kilomita kumi wakati wakufunga Tamasha la Michezo Karatu lililofanyika leo tarehe 23/12/2017 mjini Karatu,kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Karatu Bi Teresia Mahongo.
Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MICHEZO JULIANA SHONZA AFUNGUA TAMASHA LA MICHEZO KARATU LEO
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MICHEZO JULIANA SHONZA AFUNGUA TAMASHA LA MICHEZO KARATU LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MICHEZO JULIANA SHONZA AFUNGUA TAMASHA LA MICHEZO KARATU LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/naibu-waziri-wa-michezo-juliana-shonza.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MICHEZO JULIANA SHONZA AFUNGUA TAMASHA LA MICHEZO KARATU LEO"
Post a Comment