NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII , JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII , JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII , JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII , JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI
kiungo : NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII , JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI

soma pia


NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII , JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga ( kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Prof. Audax Mabula (kushoto) wakimsiliza kwa makini Mhifadhi Mila Mwandamizi, Wilbard Hema (mbele) wakati akiwapa maelezo kabla ya kutembelea baadhi ya nyumba za makabila 33 zilizopo kwenye Kijiji cha Makumbusho ambapo Naibu Waziri Hasunga alipofanya ziara mwishoni mwa wiki. Nyuma ya Naibu Waziri ni Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji cha Makumbusho, Agnes Robert.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kushoto) akinywa maji ya dafu mara baada ya kutembelea kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara mwishoni mwa wiki kujionea shughuli zinazofanywa kijijini hapo pamoja na kuzungumza na Watumishi. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Prof. Audax Mabula pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji cha Makumbusho, Agness Robert (wa tatu kushoto).
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Prof. Audax na Mabula ( wa tatu kulia) wakinywa maji ya dafu mara baada ya kutembelea kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara mwishoni mwa wiki kujionea shughuli zinazofanywa kijijini hapo pamoja na kuzungumza na Watumishi. Wa kwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji cha Makumbusho, Agness Robert, Wengine ni watumishi wa Makumbusho ya Taifa makao Makuu jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kulia) akipewa maji ya dafu na mmoja wa Watumishi wa Kijiji cha Makumbusho mara baada ya kutembelea hapo wakati alipofanya ziara mwishoni mwa wiki kujionea shughuli zinazofanywa k pamoja na kuzungumza na Watumishi. Wa kwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji cha Makumbusho, Agness Robert (wa pili kulia)
Baadhi ya Wasanii wakitumbuiza ikiwa ni ishara ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga alipotembelea Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara mwishoni mwa wiki kujionea shughuli zinazofanywa kijijini hapo pamoja na kuzungumza na Watumishi.
Picha na Lusungu Helela-MNRT


Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII , JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI

yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII , JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII , JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/naibu-waziri-wa-maliasili-na-utalii_17.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII , JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI"

Post a Comment