NAIBU WAZIRI ULEGA ASHIRIKI UHAMASISHAJI WA UPIGAJI CHAPA MIFUGO NGORONGORO MKOANI ARUSHA

NAIBU WAZIRI ULEGA ASHIRIKI UHAMASISHAJI WA UPIGAJI CHAPA MIFUGO NGORONGORO MKOANI ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI ULEGA ASHIRIKI UHAMASISHAJI WA UPIGAJI CHAPA MIFUGO NGORONGORO MKOANI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI ULEGA ASHIRIKI UHAMASISHAJI WA UPIGAJI CHAPA MIFUGO NGORONGORO MKOANI ARUSHA
kiungo : NAIBU WAZIRI ULEGA ASHIRIKI UHAMASISHAJI WA UPIGAJI CHAPA MIFUGO NGORONGORO MKOANI ARUSHA

soma pia


NAIBU WAZIRI ULEGA ASHIRIKI UHAMASISHAJI WA UPIGAJI CHAPA MIFUGO NGORONGORO MKOANI ARUSHA


Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na uvuvi Mhe.Abdalla Hamisi Ulega amefanya ziara mkoani Arusha katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kwa lengo la kuhamasisha upigaji chapa mifugo.

Akizungumza na baadhi ya wafugaji katika halmashauri ya Ngorongoro, Ulega amempongeza mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo, kwa utendaji mzuri wa kazi hususani katika kuhamasisha upigaji chapa mifugo mkoani humo.

Aidha Mhe Ulega amezijata baadhi ya halmashauri zilizofanya vizuri katika zoezi la upigaji chapa kuwa ni pamoja na Chemba,Kondoa,Maswa,Mafinga na Misungwi.

Mh.Ulega amewahimiza wafugaji kujitokeza kwa wingi katika zoezi la upigaji chapa mifugo linaloendelea nchi zima.


Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, akishiriki zoezi la upigaji chapa mifugo katika hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha.
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizindua zowezi la upigaji chapa mifugo katika hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, (wa kwanza kulia) akizungumza na wananchi wanoishi katika hifadhi ya Ngorongoro jana baada ya kushuhudia zowezi la upigaji chapa mifugo mkoa wa Arusha.katikati ni Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo na kushoto, Naibu Muhifadhi Dkt.Maurus Msuha
Naibu Muhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro,Dkt Maurus Msuha  akishiriki zowezi la upigaji chapa mifugo mapema jana mkoani Arusha.

Zowezi la upigaji chapa mifugo likiendelea mkoani Arusha.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG Arusha)


Hivyo makala NAIBU WAZIRI ULEGA ASHIRIKI UHAMASISHAJI WA UPIGAJI CHAPA MIFUGO NGORONGORO MKOANI ARUSHA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI ULEGA ASHIRIKI UHAMASISHAJI WA UPIGAJI CHAPA MIFUGO NGORONGORO MKOANI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI ULEGA ASHIRIKI UHAMASISHAJI WA UPIGAJI CHAPA MIFUGO NGORONGORO MKOANI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/naibu-waziri-ulega-ashiriki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI ULEGA ASHIRIKI UHAMASISHAJI WA UPIGAJI CHAPA MIFUGO NGORONGORO MKOANI ARUSHA"

Post a Comment