title : MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA KHEIR JAMES AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA MKOA MJINI DODOMA
kiungo : MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA KHEIR JAMES AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA MKOA MJINI DODOMA
MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA KHEIR JAMES AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA MKOA MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Ndg Kheir James (MCC) amekutana na kufanya mazungumzo na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa yote nchini wa UVCCM.
Kikao hiko kimefanyika ukumbi wa mikutano CCM Mkoa wa Dodoma kilihudhuriwa pia na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Ndg Tabia Mwita Maulid na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka.
Baadhi ya Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa yote nchini wa UVCCM wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Ndg Kheir James (MCC) akizungumza mapema jana alipokutana na kufanya mazungumzo na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa yote nchini wa UVCCM.
Baadhi ya Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa yote nchini wa UVCCM wakifurahia jambo
.
Hivyo makala MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA KHEIR JAMES AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA MKOA MJINI DODOMA
yaani makala yote MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA KHEIR JAMES AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA MKOA MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA KHEIR JAMES AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA MKOA MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mwenyekiti-wa-uvccm-taifa-kheir-james.html
0 Response to "MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA KHEIR JAMES AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA MKOA MJINI DODOMA"
Post a Comment