title : Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli Afungua Mkutano wa Tisa wa UVCCM Dodoma leo.
kiungo : Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli Afungua Mkutano wa Tisa wa UVCCM Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli Afungua Mkutano wa Tisa wa UVCCM Dodoma leo.
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana wakiingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Chuo cha Mipango Dodoma. kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano huo
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, alipowasili katika Ukumbi wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Dodoma Chuo cha Mipango
VIONGOZI wa CCM wakiwa wamesimama wakati Mwenyekiti wa CCM Dk John Magufuli akiingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Mhe. Mboni Mhita na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakiwa wamesima wakati wa kuwasili kwa Mgeni Ramin Dk John Magufuli katika ukumbi wa Mkutano Chuo cha Mipango Dodoma
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakisoma jarada la matukio la UVCCM wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Chuo cha Mipango Dodoma
MSANII wa Kikundi cha TOT Khadija Kopa akitowa burudani wa Ufunguzi wa Mkutano huo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
VIJANA wa Chupukizi kutoka Mkoani Tanga wakiimbi wimbo maalum wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma.
KATIBU Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka akisoma taarifa ya utendaji ya Umoja wa Vijana wa CCM wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM, katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma, akitowa nasaha zake kwa Wagombea na Wajumbe wa mkutano huo
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM, katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma, akitowa nasaha zake kwa Wagombea na Wajumbe wa mkutano huo
Hivyo makala Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli Afungua Mkutano wa Tisa wa UVCCM Dodoma leo.
yaani makala yote Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli Afungua Mkutano wa Tisa wa UVCCM Dodoma leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli Afungua Mkutano wa Tisa wa UVCCM Dodoma leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mwenyekiti-wa-chama-cha-mapinduzi-taifa.html
0 Response to "Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli Afungua Mkutano wa Tisa wa UVCCM Dodoma leo."
Post a Comment