title : Mwanamke Auwawa Kikatili kwa Kuchomwa Moto Hadi Kufa Baada ya Kukataa Kuchumbiwa
kiungo : Mwanamke Auwawa Kikatili kwa Kuchomwa Moto Hadi Kufa Baada ya Kukataa Kuchumbiwa
Mwanamke Auwawa Kikatili kwa Kuchomwa Moto Hadi Kufa Baada ya Kukataa Kuchumbiwa
Mwanamke mmoja ajulikanaye kama Sandhya Rani mwenye umri wa miaka 25 huko Kusini mwa nchini India ameuawa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake baada ya kukataa kuchumbiwa naye.
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi katika jimbo hilo, mashuhuda wa tukio hilo wanasema waliona mwanaume huyo akifuata mwanamke huyo na wakaanza kuzungumza kwa kubishana na ndipo mwanaume huyo alipochukua mafuta ya taa aliyokuwa ametembea nayo na kummwagia binti huyo kisha kumuwasha moto.
Inaelezwa kuwa watu walijaribu kumwokoa binti huyo lakini alikuwa ameungua sana na alifariki akiwa njiani akipelekwa hospitali.
Inaelezwa pia kuwa wawili hao wamewahi kufanya kazi ofisi moja. Polisi jimboni humo tayari wamemkamata mwanaume huyo aliyetambulishwa kwa jina la Karthika Vanga.
Hivyo makala Mwanamke Auwawa Kikatili kwa Kuchomwa Moto Hadi Kufa Baada ya Kukataa Kuchumbiwa
yaani makala yote Mwanamke Auwawa Kikatili kwa Kuchomwa Moto Hadi Kufa Baada ya Kukataa Kuchumbiwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwanamke Auwawa Kikatili kwa Kuchomwa Moto Hadi Kufa Baada ya Kukataa Kuchumbiwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mwanamke-auwawa-kikatili-kwa-kuchomwa.html
0 Response to "Mwanamke Auwawa Kikatili kwa Kuchomwa Moto Hadi Kufa Baada ya Kukataa Kuchumbiwa"
Post a Comment