title : MSANI HARMONIZE AGAWA CHAKULA KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MKOANI MTWARA
kiungo : MSANI HARMONIZE AGAWA CHAKULA KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MKOANI MTWARA
MSANI HARMONIZE AGAWA CHAKULA KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MKOANI MTWARA
Msanii wa muziki wakizazi kipya Rajab Abdulkahal au Harmonize amekula chakula cha mchana na watoto wanaishi katika mazingira hatarishi katika kituo cha kulelea Yatima cha kanisa LA EAGT mkoni Mtwara kama moja ya Kuwapa matumaini katika Maisha ya kila Siku.
Harmonize akiongozana na rafiki yake wa kike wa karibu anayejulikana kwa Jina la Sarah amesema kuna watoto waliopoteza wazazi wao wakiwa na umri mdogo huku wakiwa na ndoto kubwa za kimaisha lakini zinaonekana kupotea kutokana hivyo wanahitaji kupewa moya na kuwa na bidii binafsi.
Hata Hivyo Msanii Harmonize amepata fursa ya kubadilishana Mawazo na watoto wenye Ndoto mbalimbali zankimisha na kuwasihi kumshirikisha Mungu kwa kila wanachokifanya.

Msanii Harmonize akiwa na Rafiki yake Sarah wakigawa chakula kwa Watoto wanaoishi katika Mazingira hatarishi ambao wanalelewa katika kituo cha Kulea Yatima cha EAGT Mtwara.
Harmonize akiongea na Wandishi wa Habari Mara baada ya kumaliza Chakula cha Mchana alichokiandaa kwa ajili ya Watoto Yatima Mtwara
Hivyo makala MSANI HARMONIZE AGAWA CHAKULA KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MKOANI MTWARA
yaani makala yote MSANI HARMONIZE AGAWA CHAKULA KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MKOANI MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSANI HARMONIZE AGAWA CHAKULA KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MKOANI MTWARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/msani-harmonize-agawa-chakula-kwa.html
0 Response to "MSANI HARMONIZE AGAWA CHAKULA KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MKOANI MTWARA"
Post a Comment