Mo Dewji ashinda zabuni ya uwekezaji ndani ya Simba SC

Mo Dewji ashinda zabuni ya uwekezaji ndani ya Simba SC - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mo Dewji ashinda zabuni ya uwekezaji ndani ya Simba SC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mo Dewji ashinda zabuni ya uwekezaji ndani ya Simba SC
kiungo : Mo Dewji ashinda zabuni ya uwekezaji ndani ya Simba SC

soma pia


Mo Dewji ashinda zabuni ya uwekezaji ndani ya Simba SC


Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji amepita katika mchakato wa kumtafuta muwekezaji wa klabu ya Simba na ofa yake ya Tsh bilioni 20.
Dewji ambaye amejitokeza na kuwa muwekezaji pekee ambaye aliweka dau kubwa la Tsh bilioni 20 kupata hisa kwa asilimia 51 ndani ya klabu hiyo amekubaliwa kwa dau hilo kwa kupata hisa 49.
Mwenyekiti wa kamati ya mchakato huo wa mabadiliko, Jaji Mihayo amesema, Mo Dewji amepita na kitachofuatia ni majadiliano mengine baada ya mkutano wa leo.
“Mohammed Dewji ndiye mshindi, maana katika kamati yetu. Hivyo yeye ndiye amekuwa mshindi wa kuwania kuwekeza katika klabu ya Simba. Baada ya mkutano huu kutakuwa na majadiliano,” amesema Jaji Mihayo.


Hivyo makala Mo Dewji ashinda zabuni ya uwekezaji ndani ya Simba SC

yaani makala yote Mo Dewji ashinda zabuni ya uwekezaji ndani ya Simba SC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mo Dewji ashinda zabuni ya uwekezaji ndani ya Simba SC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mo-dewji-ashinda-zabuni-ya-uwekezaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mo Dewji ashinda zabuni ya uwekezaji ndani ya Simba SC"

Post a Comment