Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia ajiuzulu Ubunge VUF na Kuhamia CCM

Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia ajiuzulu Ubunge VUF na Kuhamia CCM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia ajiuzulu Ubunge VUF na Kuhamia CCM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia ajiuzulu Ubunge VUF na Kuhamia CCM
kiungo : Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia ajiuzulu Ubunge VUF na Kuhamia CCM

soma pia


Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia ajiuzulu Ubunge VUF na Kuhamia CCM

Mbunge wa Kinondoni jijini Dar, Maulid Mtulia (CUF) leo ametangaza kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa Chama cha Wananchi CUF na kuhamia CCM.

Katika barua yake ya kujiuzulu, Mtulia amesema kuwa ameamua kufanya uamuzi huo leo Disemba 2, kwa utashi wake bila shinikizo la mtu yeyote.

Mtulia ameelezea sababu za kujiuzulu nafasi yake hiyo ya ubunge na kuhama chama kuwa imetokana na uzoefu alioupata kwa miaka miwili ya ubunge, na kusema “nimebaini kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho ni chama tawala inafanya kazi kubwa ya kutekeleza Ilani na imefanya vizuri katika mambo mengi ambayo sisi upinzani tuliahidi kuyatekeleza” alisema.

Aidha Mbunge huyo amesema kuwa nia yake ni kuwatumikia wananchi, na haoni sababu ya kuendelea kuwa upinzani na badala yake anaona ni vema aungane na juhudi za Serikali, kwa kumuunga mkono Rais Dk. John Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo na kukabiliana na kero mbalimbali.

Mtulia amesema anawashukuru wananchi wa Jimbo la Kinondoni, kwa kumpa dhamana ya ubunge, katika uchaguzi mkuu uliopita na amewaahidi kuwa yupo tayari kuendelea kushirikiana nao katika maendeleo, akiwa katika uwanja mwingine wa siasa ambao ni Chama Cha Mapinduzi.



Hivyo makala Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia ajiuzulu Ubunge VUF na Kuhamia CCM

yaani makala yote Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia ajiuzulu Ubunge VUF na Kuhamia CCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia ajiuzulu Ubunge VUF na Kuhamia CCM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mbunge-wa-kinondoni-maulid-mtulia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia ajiuzulu Ubunge VUF na Kuhamia CCM"

Post a Comment