MKUU WA WILAYA YA KONGWA AENDELEA NA ZIARA YA KIJIJI KWA KIJIJI KUSIKILIZA NA KUZITAFUTIA UFUMBUZI KERO ZA WANANCHI

MKUU WA WILAYA YA KONGWA AENDELEA NA ZIARA YA KIJIJI KWA KIJIJI KUSIKILIZA NA KUZITAFUTIA UFUMBUZI KERO ZA WANANCHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA WILAYA YA KONGWA AENDELEA NA ZIARA YA KIJIJI KWA KIJIJI KUSIKILIZA NA KUZITAFUTIA UFUMBUZI KERO ZA WANANCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA WILAYA YA KONGWA AENDELEA NA ZIARA YA KIJIJI KWA KIJIJI KUSIKILIZA NA KUZITAFUTIA UFUMBUZI KERO ZA WANANCHI
kiungo : MKUU WA WILAYA YA KONGWA AENDELEA NA ZIARA YA KIJIJI KWA KIJIJI KUSIKILIZA NA KUZITAFUTIA UFUMBUZI KERO ZA WANANCHI

soma pia


MKUU WA WILAYA YA KONGWA AENDELEA NA ZIARA YA KIJIJI KWA KIJIJI KUSIKILIZA NA KUZITAFUTIA UFUMBUZI KERO ZA WANANCHI

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Deo Ndejembi, leo ameendelea na ziara katika kata ya Hogoro na vijiji vyote vitano vya Kata hiyo ambavyo ni Mkutani, Banyibanyi, Nyerere, Hogoro na Chamae. Hogoro ni kata ya 11 kati ya kata 22.

Mpaka sasa DC Ndejembi amefanya ziara katika vijiji 44 kati ya 87 na Kata 11 kati ya 22. Lengo la ziara hii ni muendelezo wa kampeni yake ya Ondoa Njaa Kongwa( ONJAKO) iliyozinduliwa msimu huu wa Kilimo inayohimiza kilimo cha Mtama na Uwele ili kuhakikisha kuna usalama wa chakula wilayani. 
Vile vile akiwa katika vijiji hivyo DC Ndejembi husikiliza kero mbali mbali za wananchi na kutoa maagizo na maelekezo yenye kulenga kutatua kero hizo.Katika majukumu yake DC Ndejembi alikwisha tembelea kata zote 22, ila kwa sasa atatembelea Vijiji vyote 87 katika Wilaya ya Kongwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Deo Ndejembi, leo akizungumza na baadhi ya wananchi wa kata ya Hogoro,wilayani humo.Mh Deo ameendelea na ziara yake katika kata ya Hogoro na vijiji vyote vitano vya Kata hiyo ambavyo ni Mkutani, Banyibanyi, Nyerere, Hogoro na Chamae. Hogoro ni kata ya 11 kati ya kata 22.
Baadhi ya wananchi wakimsikilia Mkuu wa wilaya ya Kongwa,Mh Deo alipofanya  ziara katika kata ya Hogoro na vijiji vyote vitano vya Kata hiyo ambavyo ni Mkutani, Banyibanyi, Nyerere, Hogoro na Chamae. Hogoro ni kata ya 11 kati ya kata 22.



Hivyo makala MKUU WA WILAYA YA KONGWA AENDELEA NA ZIARA YA KIJIJI KWA KIJIJI KUSIKILIZA NA KUZITAFUTIA UFUMBUZI KERO ZA WANANCHI

yaani makala yote MKUU WA WILAYA YA KONGWA AENDELEA NA ZIARA YA KIJIJI KWA KIJIJI KUSIKILIZA NA KUZITAFUTIA UFUMBUZI KERO ZA WANANCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA WILAYA YA KONGWA AENDELEA NA ZIARA YA KIJIJI KWA KIJIJI KUSIKILIZA NA KUZITAFUTIA UFUMBUZI KERO ZA WANANCHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mkuu-wa-wilaya-ya-kongwa-aendelea-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA WILAYA YA KONGWA AENDELEA NA ZIARA YA KIJIJI KWA KIJIJI KUSIKILIZA NA KUZITAFUTIA UFUMBUZI KERO ZA WANANCHI"

Post a Comment