title : MKUU WA WILAYA YA KONGWA AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI WARATIBU ELIMU KATA WAWILI
kiungo : MKUU WA WILAYA YA KONGWA AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI WARATIBU ELIMU KATA WAWILI
MKUU WA WILAYA YA KONGWA AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI WARATIBU ELIMU KATA WAWILI
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mh Deo Ndejembi Leo amefanya Kikao na Waratibu Elimu Kata 22 wa Wilaya ya Kongwa na idara nzima ya Elimu. Lengo la Kikao hicho ni kufanya tathimini ya maandalizi ya kupokea wanafunzi wapya wa darasa la kwanza na kidato cha kwanza kwa mwaka 2018.
Katika mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na upungufu wa madarasa,madawati na changamoto nyingine mbalimbali.Pia kuweka mikakati ya kuondoa changamoto hizo ifikapo muda wa usajili.
Katika kikao hicho Mh. Ndejembi alimuagiza Mkurugenzi kuwasimamisha kazi waratibu wawili wa Kata ya Njoge na Lenjulu ili kupisha uchunguzi juu ya tuhuma zao mbalimbali zinazopelekea kutowajibika vema katika vituo vyao vya kazi.
Mkuu wa Wilaya aliwaasa waratibu hao kuachana na kufanya kazi kwa mazoea (business as usual), na kuendana na Kasi ya Serikali ya awamu ya tano kwani Mh Rais amewawekea mazingira mazuri ya kazi ikiwemo posho kwa kila MEK Tsh 450,000/= kila mwezi pamoja usafiri. Hivyo wahakikishe wanatoa huduma bora kwa wananchi.
DC Ndejembi alieleza kuwa kwa mwaka ujao wa 2018 wanatarajia kusajili wanafunzi wapya wengi sana wa Shule za Msingi na Kidato cha Kwanza kwani Sera ya utoaji Elimu Bure imeamsha Morali zaidi kwa Wazazi kupeleka watoto Shule.

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mh Deo Ndejembi akizungumza kwenye Kikao na Waratibu Elimu Kata 22 wa Wilaya ya Kongwa na idara nzima ya Elimu, Lengo la Kikao hicho ni kufanya tathimini ya maandalizi ya kupokea wanafunzi wapya wa darasa la kwanza na kidato cha kwanza kwa mwaka 2018.
Hivyo makala MKUU WA WILAYA YA KONGWA AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI WARATIBU ELIMU KATA WAWILI
yaani makala yote MKUU WA WILAYA YA KONGWA AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI WARATIBU ELIMU KATA WAWILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA WILAYA YA KONGWA AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI WARATIBU ELIMU KATA WAWILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mkuu-wa-wilaya-ya-kongwa-aagiza.html
0 Response to "MKUU WA WILAYA YA KONGWA AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI WARATIBU ELIMU KATA WAWILI"
Post a Comment