title : Michuano ya Kombe l;a Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar
kiungo : Michuano ya Kombe l;a Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar
Michuano ya Kombe l;a Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Jamuhuri mwenye jezi ya njano Mussa Ali na beki wa Timu ya Mwenge Haysam Khamis wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi ilioaza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa Amaan Zanzibar
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Jamuhuri Mussa Ali akimpita beki wa Timu ya Mwenge Yussuf Ali, katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi linalofanyka katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mwenge ikiongoza kwa bao 1-0 kipindi cha pili cha mchezo. Picha na Othman Maulid Mapara
Hivyo makala Michuano ya Kombe l;a Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar
yaani makala yote Michuano ya Kombe l;a Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Michuano ya Kombe l;a Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/michuano-ya-kombe-la-mapinduzi-kati-ya_30.html
0 Response to "Michuano ya Kombe l;a Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar"
Post a Comment