title : Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar Mwenge Ikiongoza Kwa Bao 1-0.
kiungo : Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar Mwenge Ikiongoza Kwa Bao 1-0.
Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar Mwenge Ikiongoza Kwa Bao 1-0.
Mshambuliaji wa Timu ya Jamuhuri Mussa Ali akimpita beki wa Timu ya Mwnge wakati wa mchezo wao wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotimua vumbi leo katika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Jamuhuri ikingoza mchezo huo kwa bao 1 -0, lilifungwa na mshambuliaji wa Timu ya Mwenge katika dakika ya 31 kupindi cha kwanza cha mchezo huo.
Mchezo wa saa 8, mchana ulizikutanisha Timu za Mlandege na JKU, Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa mabao 2 - 1 Mabao ya mlandege yamefungwa bao la kwanza la mlandege limefungwa na Khamis Abuu katika dakika ya 18 ya mchezi kipindi cha kwanza. bao la Pili la Mlandege limefungwa na Abubakar Ame katika dakika ya 60 ya mchezo kipindi cha pili bao la JKU limefungwa na Khamis Abdallah katika dakika ya 34 kipindi cha kwanza.
Hivyo makala Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar Mwenge Ikiongoza Kwa Bao 1-0.
yaani makala yote Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar Mwenge Ikiongoza Kwa Bao 1-0. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar Mwenge Ikiongoza Kwa Bao 1-0. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/michuano-ya-kombe-la-mapinduzi-kati-ya.html
0 Response to "Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Jamuhuri na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar Mwenge Ikiongoza Kwa Bao 1-0."
Post a Comment