title : MIAKA MITANO YA WAKALA KATIKA UTEKELEZAJI WA SERIKALI MTANDAO NCHINI
kiungo : MIAKA MITANO YA WAKALA KATIKA UTEKELEZAJI WA SERIKALI MTANDAO NCHINI
MIAKA MITANO YA WAKALA KATIKA UTEKELEZAJI WA SERIKALI MTANDAO NCHINI
Serikali Mtandao ni matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika taasisi za umma kwa lengo la kutoa huduma bora kwa haraka, zilizo za gharama nafuu, zinazofikiwa kwa urahisi, zinazopatikana wakati wote (24/7) na kwa wakati mwafaka. Huduma za Serikali Mtandao zimegawanyika katika maeneo makuu manne: kati ya Serikali na Watumishi wake (G2E), Serikali na Sekta ya Biashara (G2B), Serikali na Wananchi (G2C) na Kati ya Taasisi moja na Taasisi nyingine ya Serikali (G2G).
2.0 Wakala ya Serikali Mtandao
Wakala ya Serikali Mtandao ilianzishwa 2012 kwa Sheria ya Wakala za Serikali Na.30 ya Mwaka 1997 Sura ya 245 na Kanuni zake. Wakala hii ina jukumu na mamlaka ya kuratibu na kusimamia utekelezaji wa Serikali Mtandao kwa Taasisi za umma. Lengo ni kuziwezesha Taasisi hizo kutumia TEHAMA katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuongeza ufanisi, uwajibikaji na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
3.0 Malengo ya Wakala ya Serikali Mtandao
Malengo ya Wakala ya Serikali Mtandao ni pamoja na Kuboresha uwezo wa Taasisi za umma kutekeleza jitihada za Serikali Mtandao, kuwezesha upatikanaji wa huduma mtandao kwa umma, Kuboresha mifumo shirikishi ya TEHAMA, Kuimarisha uratibu, usimamizi na uzingatiaji wa viwango vya Serikali Mtandao katika utoaji wa huduma kwa umma, Kuboresha huduma za ushauri wa kitaalam na msaada wa kiufundi na Kushirikiana na Wadau wa Serikali Mtandao.
4.0 Mafanikio ya Utekelezaji wa Serikali Mtandao yenye Umuhimu wa kipekee.
Ndani ya miaka mitano, Serikali imeijengea uwezo Wakala ulioiwezesha kutekeleza jitihada za Serikali Mtandao kama ifuatavyo:
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao, Dk. Jabir Kuwe, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari ambapo alielezea kuhusu miaka mitano tangu ulipoanzishwa na namna walivyoweza kuhakikisha taasisi za serikali kuingia katika serkali mtandao.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao, Dk. Jabir Kuwe, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu miaka mitano tangu ulipoanzishwa na namna walivyoweza kuhakikisha taasisi za serikali kuingia katika serkali mtandao.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MIAKA MITANO YA WAKALA KATIKA UTEKELEZAJI WA SERIKALI MTANDAO NCHINI
yaani makala yote MIAKA MITANO YA WAKALA KATIKA UTEKELEZAJI WA SERIKALI MTANDAO NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MIAKA MITANO YA WAKALA KATIKA UTEKELEZAJI WA SERIKALI MTANDAO NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/miaka-mitano-ya-wakala-katika.html
0 Response to "MIAKA MITANO YA WAKALA KATIKA UTEKELEZAJI WA SERIKALI MTANDAO NCHINI"
Post a Comment