MBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE YA MSINGI KIHESA

MBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE YA MSINGI KIHESA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE YA MSINGI KIHESA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE YA MSINGI KIHESA
kiungo : MBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE YA MSINGI KIHESA

soma pia


MBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE YA MSINGI KIHESA

 Na Fredy Mgunda,Iringa.




Mbunge wa viti maalam mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati amefanya ziara kwenye baadhi ya shule za msingi za manispaa ya Iringa kwa lengo la kubaini changamoto zilizopo na kuanza kuzitafutia ufumbuzi kwa lengo la kuboresha mazingira ya wanafunzi kusomea.



Akizungumza mara baada ya kumaliza zira hiyo ya wiki moja Kabati alisema kuwa amefanya ziara katika shule ya msingi Kihesa,Igereke,Mtwira na shule ya Kibwabwa na kubaini changamoto nyingi ambazo anaanza kuzitafutia ufumbuzi hivi karibuni.



“Nimejionea mwenyewe changamoto zilizopo na naona kama changamoto kwa asilimia kubwa zinafanana hivyo ni kazi yangu kuanza kutafuta njia ya kuanza kuzitatua changamoto hizo”alisema Kabati.



Hivyo makala MBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE YA MSINGI KIHESA

yaani makala yote MBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE YA MSINGI KIHESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE YA MSINGI KIHESA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mbunge-ritta-kabati-kukarabati-shule-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE YA MSINGI KIHESA"

Post a Comment